Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia


WORD...m nawashangaa watu walivyo selfish
 
kuwa mpole kaka, madhehebu mengine hayaamini katika kumuombea mtu aliyefariki, kama wewe inawezekana just muombee ila usilazimishe wenzako.

Siwezi kubishana na ww utataka uniingize kwenye mabishano ya dini gani bora na mm cyawezi hayo all i can say iz tht mwenzetu amekwenda na sis tupo njiani kweli mungu mkubwa
 


We Mwehu nini? ama dunia imekuteka mpaka ukasahau adhabu ya kabri.Hakuna utani wala kicheko kwenye kifo labda kwa mwenda wazimu ka wewe usiye jua madhambi mangapi unayo na nini hatimayako baada ya kifo.Hiyo jeuri ya kutamka haya umeitoa wapi?Nonsense kabisa.
 
atafufuka SIKU YA NNE Ona sasa kafa Ijumaa jamani!!! atamweleza nini Nyerere kuhusu wanaMagamba na Mafisadi Papa aliowakataa akina Edu Rost na Cheng
 
RIP Sheikh Yahaya Hussein.

Taifa linakulilia umeondoka wakati bado tunahitaji ulinzi wa kiongozi wetu mpendwa JK,ni nani umemwachia mikoba ya ulinzi ?.
Taifa linakulilia umeondoka bila kuaga uliowatabiria na wakaamini utabiri wako umewaacha njia panda.
Taifa linakulilia umeondoka bila kujitabiria mwenyewe kwamba utaondoka 20/05/2011 na kuzikwa 21/05/2011.
Taifa linakulilia umeondoka bila kuacha usia ni nani atailinda CCM na viongozi wake wanategemea uchawi na ushirikia ili kushinda uchaguzi.
Taifa linakulilia umeondoka ni nani atatuchagamsha kila wakati wa uchaguzi unapofika ?.
Taifa linakulilia umeondoka ni nani atatutabiria ulituzoeza kuishi kwa utabiri.
 
Mungu kasikiliza sara za watanzania kuongozwa na majini

Mungu ibariki Tanzania
Mungu wabariki Watanzania
 
Kauli za kichawi za shehe yahaya....

Huyu shehe alikuwa mchawi period.......anaebisha abishe tu kwa sababu zake za kinafiki ati marehemu hawasemwi.......
 
2peni News zaidi kwa walio karibu makazi ya kwake,maana Mi sijaamini kweli. Mmmmmh!!
Kwa mujibu wa Radio 1 breaking news Sheikh Mkuu Issa Bin Simba ni kweli Sheikh Yahaya amefariki leo na atazikwa kesho
 
Mwehu ni Shehe mchawi Yahaya mlinzi wako na majini yake....
Alisema Shibuda atakufa....yeye nani? mwehu sio?
 
vp JK alishapata newz au watamsubiri arejee kutoka windhoke please msimsahu Marine wa jambo tanzania
 
Poleni wafiwa, poleni ccm najua hili ni pigo kwenu
 
hapana ndugu mtu amefariki lakini bado wanaendeleza siasa badala ya kumuombea hebu tuache ujinga ndugu zanguni tunapoelekea sio kuzuri

Ok dont worry! Remember dat God did not put people the ability to always make right decision.
"Mwanadamu ni mavumbi na mavumbi utarudi. May sheikh Yahaya Soul R.I.P."
 
Yule mnajimu na mtabiri maarufu afrika (shekhe yahaya) amefariki dunia leo nyumban kwake. Anazikwa kesho!
Source. E.a. radio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…