Du!
Kama alikuwa mchafu wa roho hata akioshwa na Dinsinfectant na chemical za aina yoyote hazisaidii kitu...
Faiza imani ni jambo tete.Ukianza kukashifu imani ya mwenzako utajikuta wewe ndio unaumia.Hafu yaonekana una jazba.Si unajua
tena imani yako kwa mfano imejengwa na utaratibu wa kiarabu.Mpenzi acha kabisa kukashifu imani !!
hivi kwa nini wasingemtosa baharini?
Hii NIMEIPENDA.Du!
Kama alikuwa mchafu wa roho hata akioshwa na Dinsinfectant na chemical za aina yoyote hazisaidii kitu...
hivi kwa nini wasingemtosa baharini?
Hi Great thinkers, kwa nini tunataka kupotea mwelekeo.Ishu ya marehemu Sheikh Yahaya Husein in tija gani kwa wana JF?Faiza tunaomba Formula ya Kukamua M@#i...
NO COMENT! Nice wk end to you saaly.huna hoja mashauzi tu......ukamue ,usikamue ataoza tu kama wengine....!
Heshima kwako FaizaFoxy.
Naomba kujuzwa hii maneno ya kukamua maiti kabla hajaswaliwa na kuzikwa nimezisikia sana bahati mbaya sijapata darsa toka kwa wanazuoni wa kiislam kuhusiana na zoezi zima na ukamuaji.Naomba kuuliza maswali machache kwa faida ya wote wasiojua taratibu za mazishi za ndugu zetu waIslam.
[1] Ni lazima kila muIslamu kabla ya kuswaliwa na kuzikwa akamuliwe uchafu wote tumboni ?.
[2] Je ikitokea maiti imeharibika sana eg ajali taratibu lazima za kukamuliwa laziama zifuatwe na kuzingatiwa ?.
[3] Kuna magojwa ya kuambukiza eg; Kipindupindu ikithibitika marehemu kafa kwa ugonjwa huo taratibu zikoje NB;Naomba uquote kitabu kitakatifu Quran.
[4] Nani wanahusiaka na hili zoezi gumu na lakutisha ?.Masheikh na nk.Je mwanamke anaoshwa na mtu yoyote mfano mwanaume.
[5] Naomba hadith kutoka Quran kama mitume na manabii walifanyiwa hivyo au ni utaratibu wa waIslam wa Tanzania tu.
[6] Je zoezi la ukamuaji ndio sababu kuu za uharakiswaji wa mazishi ya waIslamu.nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kwanini MuIslam akifa anazikwa mara moja.Ebu fikiria mtu kafa wiki mbili au tatu kumkamua m.a.vi itawezekana kweli ?.
huna hoja mashauzi tu......ukamue ,usikamue ataoza tu kama wengine....!
Imani yako ibaki kuwa imani yako. Hivi nini kinakufurahisha kukejeli dini za wenzako? Utajisikiaje tukianza kuandika ya mohamed? Unapotea. Tabia yako inakwenda kinyume na uislam. Roho siyo mwili.Uislaam umekuja kwa walimwengu wote. Maana ya uislaam ni kujisalimisha kwa muumba mmoja. Tuna uhakika na ushahidi kuwa uislaam ni wa kweli na Allah ni mmoja tu hajazaa wala hajazaliwa na ndiye muumba wetu. Hata yesu alimuomba "elai elai lama sabakhtani"!
Hamushangai mukisoma kwamba Egyptian mummies walikuwa wanasafishwa utumbo na kuwekewa dawa kufanyiwa mummification, munakuja kushangaa leo waislamu wanafanya hivyo?
Kila mtu ana dini yake na imani yake anayoyafanya hayamuhusu asiyehusika. Hebu tuheshimiane jamani.
1) Si lazima , kwa anaekufa shahid hana haja ya kuoshwa ikibidi. Kwa kuwa somo la kuosha maiti kwa waislaam ni refu na ili nisiwaudhi wengine, nakuwekea hapa kink itakupa maelezo kamili, naomba tembelea hapo kama kweli wataka ilm: Authentic Step by Step Illustrated Janazah Guide
kwa maswali yako 2), 3), 4), 5) 6), yote yemejibiwa kwenye link niliyokuwekea hapo namba moja. Pitia huko,halafu kama hujapata jibu rudi.
je tbc itaonyesha mazishi ya sheikh haya?
Na hata ukimpeleka na suti na veli, pia ataoza tu, lakini aoze na m.a.v.i tumboni au bila m.a.v.i? sisi tumeamua bila m.a.v.i, wewe jee?