Sheikh Yahya atabiri viongozi kutekwa nyara! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Yahya atabiri viongozi kutekwa nyara!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MaxShimba, Apr 13, 2011.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Taarifa kwa vyombo vya habari:

  [​IMG]


  VIONGOZI KUTEKWA NYARA

  UTABIRI WA MWEZI APRILI

  "Kuanzia tarehe 19 April na kuendelea hadi July, viongozi wa siasa na wafanya biashara maarufu wajichunge kutekwa nyara na kuibiwa, wao wenyewe na kufanywa kama bidhaa.

  Viongozi hao wachukue tahadhari nyakati zao za kutembea na wanaposafiri kwani pana uwezekano wasirudi, utekaji nyara huo ni wa viongozi tuliowataja na wasijiamini wanaposafiri au wakiwa kwenye mikutano wasiwe peke yao na wawe na mipangilio ya tahadhari nyakati zote. Nyota pia zinalenga wake na masahiba ya viongozi hao mashuhuri".

  Sheikh Yahya Hussein.
  Mnajimu Mkuu Afrika Mashariki na Kati
  P.O.B0X 21250 DAR ES SALAAM
  TEL: +255 75 4672464


  SOURCE: JESUS IS LORD
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kumbe huyu mchawi bado yupo.................
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Haya tusubiri bana.
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Utata! Mungu mwenyewe hawezi mtabiria mwanadamu matatzo.
   
 5. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu ni njaa yake inamletea matatizo. Alitabiri rais atakuwa mwanamke baadaye akabadilisha eti atakuwa na sura ya kike
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Huyu kigagula alishapona gonjwa yake?Naona kaanza tena.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kibabu anawakumbusha watu kwamba yupo hai...Otherwise hana mpya tena!
  Kama angekuwa mtabiri angesema kitu juu ya chama cha MAGAMBA kabla hawajaanza kuyavua!
  Achaneni na mwanga huyu!
   
Loading...