Pamoja na kutokubaliana na mitazamo yake ya kimaisha, kwenye hili la ugonjwa namuombea apone haraka. Kama binadamu lazima tupitie hizi test za hapa na pale na hakuna tunguri linaloweza kutuepusha na haya mambo ya waja wa dunia
Unachopanda ndo unachovuna. Amemdharau Mungu kwa kusema yeye ndo mwenye kutoa ulinzi kwa wanadamu awapendao. Sasa Mungu anamuonyesha kwamba yeye(Mungu ) is above all, na hakuna mwanadamu atakaye uchukua utukufu wa Mungu.
tetemekeni kwa hofu, kwani yaja siku, ni siku yenye kutisha tena sana sanax2, usituhukumu Bwana kwa hasira yako, utupone ee Bwana............., waovu nao matapeli, watatoswaaa sana, tetemekeni kwa hofu yaja siku ile
Duh, pole sana Sheik Yahya!! Yaani umetoa ulinzi wa majini kwa Kikwete halafu wewe mwenyewe umeshindwa kujilinda? Ni wakati mzuri wa kutambua kwamba ulinzi wa kweli na mipango ya maisha anapanga Mungu na si mwanadamu. Muombe Mungu atakurehemu na kukuponya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.