Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,933
- 4,706
acheni umbeya! Mbona habari yenyewe haijamtaja sheikh Yahya? Au jina limeandikwa kingleza nimeshindwa kuliona? Basi wangeeleza hata wasifu wake kuwa "na Tanzania anafahamika sana kwa kuroga uchaguzi" hapo ningewaelewa.! U-Great Thinker uko wapi hapa?
.
Alipoitangazia nchi kwamba yeye ni mlinzi wa Jk kichawi na hivyo angemuongezea ulinzi wa majini dhidi ya washindani wake katika siasa baada ya kuanguja jangwani wewe hukumwelewa ndio unataka atajwe jina kwa sasa ndio umwelewe?
Mwenzako Jk kamwamini sana na wala hutujawahi kumsikia akikanusha matamshi ya Sheikh Yahya bali tuliona akiyaunga mkono wakati wa mkutano wake wa mwisho jangwani kwamba 'Hakuna uchawi hapa leo haanguki mtu'
Hii ndio ilidhihirisha kwamba jamaa aliamini kuanguka kwake kulikuwa ni kwa uchawi ila kwa mara nyingine alitamba haiwezekani maana alikubaliana na kuamini nyongeza ya ulinzi aliyoahidiwa na Sheikh.
Nina wasi wasi jamaa huko Comorro atakuwa ameunganishiwa hilo deal na Ikulu ya Tz. Wacomorro wamefanya vizuri sana kumtimua huyu mchawi kutoka kwenye ardhi yao maana wasingefanya hivyo mda sii mrefu na wao tungesikia tayari wameanza kuua raia wao wenye ulemavu wa ngozi(maalibino)
.