"Sheikh Yahaya" atimuliwa Comoros

"Sheikh Yahaya" atimuliwa Comoros

Nyie mnaomtetea nina wasiwasi nanyi inawezekana ni wasaidizi wake, maana watu wa aina ya kina Shehe Yahaya lazima wawe na misukule iliyoenda shule bila yenyewe kujijua.

Hivi baada ya kwenda shule kote huko unaamini misukule sijui na majini gani? Ama kweli unaweza kufanikiwa kumtoa mtu kijijini na kumleta mjini lakini huwezi kuiondoa asili ya ukijiji moyoni kwake.
 
Hivi baada ya kwenda shule kote huko unaamini misukule sijui na majini gani? Ama kweli unaweza kufanikiwa kumtoa mtu kijijini na kumleta mjini lakini huwezi kuiondoa asili ya ukijiji moyoni kwake.
Hayo maneno ungemwambia bosi wako mchawi unayemtetea yangemsaidia sana au umepigwa kindumba huelewi unayoyasema.
 
Soko lake hapa nchini limekwisha hasa baada ya ule "utabiri feki' wa kifo cha mgombea wa urais kutotimia................anajaribu kwenda kutafuta soko nje ya nchi.........aibu kubwa sana hii......
 
Na sitoshangaa kusikia kuwa alikuwa "highly recommended" na mwanasiasa mkubwa Tanzania.
 
... "He's a friend, he used to come for meals regularly," the governor's wife complained after enquiring about the Tanzanian's fate with the police.

"Nothing is clear or official. We are being told he is a crook but no warrant was issued... Internal security confirmed his arrest and simply told us that witchcraft was banned," she added.

Mr Abdoulhoihabi, once a close aide to Comoran President Ahmed Abdallah Sambi and now an opposition politician, will face a ruling party candidate as he attempts to retain his job tomorrow. ....


Comoros expels Tanzanian for 'poll sorcery'

Ni AIBU kubwa sana kwa taifa letu !!!

Kushoto tunakamatwa na mabomu kwenye mifuko ya rambo tukipanda mabasi, na kulia tunatimuliwa UCHAWI!!!!!
 
Kwanini wasingemalizana naye kwa bunduki!

umenena vyema huyu ni wa kuua kabisa nashangaa baadhi ya waislamu wanachukia watu wakimsema vibaya,hafai huyu wala imani yake haimruhusu kufanya anayoyafanya na wala si sheikh huyu ila ni shehena
 
This man and his alie Redet are only useful to sisiemu and thy'd not cross Tz boarders as there is no sisiemu over there!
 
Duh JF kama kawaida. Yaani hiyo nchi nayo imechoka. Hivi unawezaje kuaamini kuwa election can be rigged by witch means? Mie nadhani ni mbinu za chama tawala kwakuwa jamaa ni opposition. Otherwise, mchawi/mganga hawezi kubadilisha matokeo. Basi hakuna haja hata ya kusoma. Unakaa, siku ya mtihani anapita NECTA au kwa lecturer wao unapata BANDA (Yaani A). NN husema Miafrika ndio............
 
By the way TUACHE UZUSHI HAJATAJWA SEHEMU. Siku tukiacha majungu na fitna, nchi yetu itaendelea.
 
unajua kutokuelewa ndiyo kunafanya baadhi ya watu wmuiite mchawi, pengine au ni utendaji wake kaZi, lakini sheikh yahya ni mtaalam wa kusoma nyakati it's sort of art ;in chinise (and now adapted in english) is called "feng shui". ninaelwa uawezo wake... ila anaifanya hiyo kazi kichawi chawi zaidi kutisha watu... na kupractice nchi za watu bila work permit ni makosa.
siamini kwenye uchawi, kwa kuwa naamini damu ya yesu ndiyo jibu.... ila nashauri mgoogle kidogo kuhusu "feng shui'; tutaweza kumuelewa vizuri huyu jamaa.
 
acheni umbeya! Mbona habari yenyewe haijamtaja sheikh Yahya? Au jina limeandikwa kingleza nimeshindwa kuliona? Basi wangeeleza hata wasifu wake kuwa "na Tanzania anafahamika sana kwa kuroga uchaguzi" hapo ningewaelewa.! U-Great Thinker uko wapi hapa?
 
Mm kazi kweli,hiki ndicho kipenzi cha Kikwete,Tanzania basi tena.
 
What about your fate ? mnabidii ya kuunga unga stori ilimradi ifananie na mlilokusudia!!
Ulipo lala, sie tulikuwepo jana !

umewaona eeh! Yaani mtu ilimradi ajiongezee idadi ya threads. Hawana hata aibu.
Angetuma hiyo thread yake bila kukahusisha hako kakongwe ka watu pia ingeeleweka tu.
 
Hivi baada ya kwenda shule kote huko unaamini misukule sijui na majini gani? Ama kweli unaweza kufanikiwa kumtoa mtu kijijini na kumleta mjini lakini huwezi kuiondoa asili ya ukijiji moyoni kwake.

Kama unaamini kuna Mungu ni lazima pia uamini kwamba shetani yupo.The bible is very clear about this.Na kama shetani yupo lazima misukule na majini yapo.After all kwenda shule maana yake nini,ni ku-acquire knowlege.And what is knowlege,hata kujua kwamba kuna majini na misukule ni knowlege. Inaelekea knowlege hii huna,sasa ni upuuzi kusema majini na misukule haipo simply because hujui. .Usijidanganye, those things are real.Kuna somo katika Elimu Dunia la kutengeneza mtu bandia.Hii iko katika process ya kutengeneza msukule.Shetani anakucheka kweli kwa maneno yako.
 
acheni umbeya! Mbona habari yenyewe haijamtaja sheikh Yahya? Au jina limeandikwa kingleza nimeshindwa kuliona? Basi wangeeleza hata wasifu wake kuwa "na Tanzania anafahamika sana kwa kuroga uchaguzi" hapo ningewaelewa.! U-Great Thinker uko wapi hapa?
Kama wewe unamjua aliyefukuzwa tuambie sisi tunamjua ni Shekhe Yahya hadi utakapotuambia ni nani.
 
Back
Top Bottom