Sheikh wetu huyo Mashalaah

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,303
33,083
Amependeza Ustadh Kikwete.............................

395368_349035971786910_834276344_n.jpg



. Boflo
 
Last edited by a moderator:
Hivi kanzu ni vazi la kiarabu, kidini, kiislamu au vazi la kawaida tu kama shati ambalo mtu yoyote unaweza vaa na kwa mda wowote?

Nikijibiwa swali hili nitaongea baadae.
 
Hivi kanzu ni vazi la kiarabu, kidini, kiislamu au vazi la kawaida tu kama shati ambalo mtu yoyote unaweza vaa na kwa mda wowote?

Nikijibiwa swali hili nitaongea baadae.
Kanzu sio Vazi la kiarabu wala sio Vazi la Dini ya Kiislam. kanzu tunaweza kusema ni kama Shati jeupe ni vazi la heshima tu kwa mtu yoyote yule anaweza kuvaa hiyo Kanzu. huko Uarabuni Kanzu

huwa wanavaa kwa sababu nchi zao huko Uarabuni kuna joto kali sana ndio hupenda kuvaa Kanzu inapitisha hewa vizuri

sana mwilini ukivaa kanzu huwa mwili wako mwepesi . Huku kwetu Kanzu ndio tunaona ni Vazi la kidini ya kiislam bado sisi

Waafrika tupo nyuma Uarabuni mpaka Wakristo huwa wanavaa kanzu Mkuu Magu
 
Last edited by a moderator:
acheni kujadili watu/people, jadilini masuala/issues
Ni Kweli watu waache kuzungumza masuala ya mtu wazungumze mambo muhimu mimi nimemsifia kiongozi wetu alivyopendeza watu wengine wanazungumzia mambo mabaya Wabongo kwa kupenda kumchukia mtu pasipo an sababu yoyote ile ahhhh.Mkuu HAZOLE
 
Last edited by a moderator:
Kanzu ni vazi kama shati na jeans, sio vazi la kiislam. Kanzu pia zinaingia bar hakuna vazi la kiislam as long as ni nguo ya heshima kwa mujibu wa masharti ya kidini yaliyowekwa. Enzi za mitume hakuna ushahidi kama alikuwa akivaa kanzu.

Back to the topic, namupenda huyu mtu ni PHOTOGENIC wa Ukweee
 
Back
Top Bottom