Tetesi: Sheikh Walid atuhumiwa kukimbiwa mtoto

Status
Not open for further replies.
Huwa nasema hakuna watu wanafiki kama masheikh, hakuna watu wanaofanya maovu kwa kujificha kama masheikh,Hawa ndio wazinzi wakubwa,wavuta Sigara na watukanaji WAKUBWA .

ila ndio wakwanza kushambulia watu na kuwalazimisha wamfate Allah kumbe wao hawawezi .

Huyu kwenye picha na video ni Sheikh WALID na huyo bint ambaye amekiwasha huko mitandaon hasa TikTok akitoa na ushahidi wa Sheikh WALID kukataa mtoto kumtunza,kumbuka huyu bint alikuwa hawara tu .
View attachment 3629751
Narudia hakuna watu wanafiki na wahuni kama Hawa wanaojiita viongozi wa dini hasa Masheikh.

Yesu alisema

Mathayo 23
14 [Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnakula nyumba za wajane, na kwa unafiki mnasali sala ndefu; kwa hiyo mtapata hukumu iliyo kubwa zaidi.]

Hawa jamaa wanaongoza kwa kusali Dua ndefu sana na kula pilau na biriyani kumbe wachafu sana.

View attachment 3629750

Baada ya huu mkasa wa aibu ,Bakwata fasta wamemtengua ,maana hii kesi wanaijua vizuri

View attachment 3629752

Sheikh Mwaipopo mwanamgambo wa kundi la chui weusi na yeye katoa neno kuhusu Sheikh WALID

View attachment 3629753
Cha kushangaza Kuna wapumbavu wanamtetea huyu sheikh kana kwamba ni Malaika hakosei

Hawa viongozi wa dini ni wahuni wenzetu tu ,
Masuala ya yeye kukimbia mtoto yanatuhusu nini?
Ndio yaleyale ya kusema Mapadre hawajatekwa bali wamejificha kwa wapenz wao
 
Vipi na yule wa kigoma na singida, wao nao wametumbuliwa kwa kulakula mbususu zisizo halali?
 
Huwa nasema hakuna watu wanafiki kama masheikh, hakuna watu wanaofanya maovu kwa kujificha kama masheikh,Hawa ndio wazinzi wakubwa,wavuta Sigara na watukanaji WAKUBWA .

ila ndio wakwanza kushambulia watu na kuwalazimisha wamfate Allah kumbe wao hawawezi .

Huyu kwenye picha na video ni Sheikh WALID na huyo bint ambaye amekiwasha huko mitandaon hasa TikTok akitoa na ushahidi wa Sheikh WALID kukataa mtoto kumtunza,kumbuka huyu bint alikuwa hawara tu .
View attachment 3629751
Narudia hakuna watu wanafiki na wahuni kama Hawa wanaojiita viongozi wa dini hasa Masheikh.

Yesu alisema

Mathayo 23
14 [Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnakula nyumba za wajane, na kwa unafiki mnasali sala ndefu; kwa hiyo mtapata hukumu iliyo kubwa zaidi.]

Hawa jamaa wanaongoza kwa kusali Dua ndefu sana na kula pilau na biriyani kumbe wachafu sana.

View attachment 3629750

Baada ya huu mkasa wa aibu ,Bakwata fasta wamemtengua ,maana hii kesi wanaijua vizuri

View attachment 3629752

Sheikh Mwaipopo mwanamgambo wa kundi la chui weusi na yeye katoa neno kuhusu Sheikh WALID

View attachment 3629753
Cha kushangaza Kuna wapumbavu wanamtetea huyu sheikh kana kwamba ni Malaika hakosei

Hawa viongozi wa dini ni wahuni wenzetu tu ,
Huyu kaonesha 'rangi' yake halisi kuwa ni ya namna gani.

Sii kwamba alikosa pesa ya kumtunzia huyo mwanaye wa kando, bali ni mtu katili ki tabia na sasa Mungu kamuumbua na hila zake za gizani.

Kumbe zile hotuba zake 'za maana' nyuma ya mimbari za misikiti na zile tabasamu zake za bashasha kwenye kadamnasi ni pazia la kufichia maovu yake.

Kuna nini huko Dar, kila Shehe wa mkoa anayefukuzwa, ni lazima chanzo chake kiwe ni mwanamke?

Wasiishie tu kumtimua, Ustawi wa jamii waanze kuzifuatilia tuhuma hizi kwa kina ili hatua ya uwajibishwaji ichukuliwe na sheria ichukue mkondo wake.

Amevuna alichokipanda
 
Wametenguliwa masheikh watatu, lakini midomoni amewakaa Shk. Waliid tu... nyie watu nyie, hii dunia tunapita tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom