PostGE2025 Sheikh Rusaganya: Viongozi wa dini nyingine mnaotoa matamko kuweni na adabu! Kwanini kila Rais anapokuwa muislamu mnatoa matamko?

PostGE2025 Sheikh Rusaganya: Viongozi wa dini nyingine mnaotoa matamko kuweni na adabu! Kwanini kila Rais anapokuwa muislamu mnatoa matamko?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mwalimu wa masuala ya dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Rusaganya, amewajia juu viongozi wa dini nyingine kwa kutoa matamko kuhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Amesema kuwa Rais Samia anatukanwa sana, hivyo ni vyema viongozi wa dini nyingine wakaacha kutoa matamko yasiyo na adabu dhidi yake. Sheikh Rusaganya amehoji kwa nini kila mara Rais anapokuwa Muislamu, maneno na matamko mengi huibuka.

Aliyasema hayo Oktoba 23, 2025, wakati akihutubia msikitini na kuwaonya vijana kushiriki kwenye maandamano.

 
Pumbavu zake huyo shehe ubwabwa.

Huyu shehe kwa akili zake ndogo anadhani katili Samia atakua rais milele.

Yani watu wanatekwa,wanauliwa na maiti zao zinatupwa kusikojulikana halafu huyu mpumbavu anataka tukae kimya.


Pia mjue mnachokitengeneza ni hatari zaidi kama nchi ataishika mkristo mwenye misimamo mikali.

Atawabagaza ma mkiongea mtaambiwa mkae kimya kama nyinyi mnavyotaka.

Mishehe ya hovyo kama hii ni kuitembelea na kuisalimia tu 9D.
 
Kobazi ni kobazi tu hakuna jipya. Wameuwawa makobazi wenzake kibao akiwemo yule Shekhe Majini halafu yeye amekomaa na ukobazi wake utafikiri risasi zilikuwa zinachagua. Uandunje wa elimu ya madrasa!

Maaskofu endeleeni kupiga hapo hapo kwenye mshono mpaka hawa maprofesa wa madrasa wapandishe majini yao: Hakuna Amani Bila Haki!

20251112_102246.png
 
Shehe ubwabwa go and check the archives jinsi Mkapa na Magufuli walivyosemwa ilhali hawakuwa wauaji kiwango cha Samia, hawakuiba kama Samia, hawakunufaisha familia zao kama Samia na hawakuwahi kutuma polisi kufanya massacre live kama anavyofanya Samia.

Yaani aachiwe aue tu kwa kuwa ni Muislamu? How did this fool become a religious leader?
 
Rais sio Kiongozi wa dini huyo ni kiongozi wa wananchi wote anakosolewi kwasababu ya kiti alichokalia kiti cha wananchi.

Huyo Shekhe alikuwa mdogo wakati wa Magufuli anawanyang'anya Maaskofu wa Katoliki Passport za kusafiria? Huyu Shekhe alikuwa ni mdogo wakati Wakatoliki wanampiga waraka Magufuli kuhusu watu kutekwa na kupotea na COVID?

Namalizia kwa kusema Shekhe anastahili special tusi...
 
Sheikh Rusaganya amehoji kwa nini kila mara Rais anapokuwa Muislamu, maneno na matamko mengi huibuka.
Ni jambo la aibu kwa sheikh kutojua kwamba Samia ni muislam.

Kabweka tu kama mbwa kwamba rais muislam anapopolewa kwa mawe na kusemwa vibaya.

Hivi katika uislam tangu lini mwanamke akawa kiongozi wa wanaume?
 
Pumbavu zake huyo shehe ubwabwa.

Huyu shehe kwa akili zake ndogo anadhani katili Samia atakua rais milele.
Anajua kuwa rais ana kipindi maalum cha kuongoza, ndiyo maana kasema kila rais akiwa muislam maaskofu hugeuka wanasiasa
Yani watu wanatekwa,wanauliwa na maiti zao zinatupwa kusikojulikana halafu huyu mpumbavu anataka tukae kimya.
Hujui maiti zilikotupwa lakini bado unaamini na kutuaminisha zinatupwa
Pia mjue mnachokitengeneza ni hatari zaidi kama nchi ataishika mkristo mwenye misimamo mikali.
Alishika mkapa,akaua waislam msikitini mwembechai baada ya kanisa kulalama yesu anatukanwa,akaua pemba 2001 na kutengeneza wakimbizi mara ya kwanza,hapakua na tamko toka kanisani
Atawabagaza ma mkiongea mtaambiwa mkae kimya kama nyinyi mnavyotaka.

Mishehe ya hovyo kama hii ni kuitembelea na kuisalimia tu 9D.
Jaribuni kutembelea masheikh tuone
 
Back
Top Bottom