wanamwonea tu ...
ukiwa muislam unatakiwa unyamaze ....ukisema sema sana basi ujue mfumo utakuonesha kuwa upo...
haya ni maonevu tu...yote ni uzushi na kesi za kubambikiwa..na mapolisi wetu.....kwa kupata presha ya wanasiasa na vingozi wa dini....
Pamoja sana mkuu,,,,,,kazi ya mfumo iyo!!!!!