Sheikh Ponda amua moja ueleweke!

Mkuu hivi kanisa la Mchungwaji Msigwa linaitwaje? Maana naskia mchungaji mchungaji lkn kanisa analochungia kondoo halijulikan
Mchungaji hufanya mahubiri popote, sio lazima kanisa, Hata Yesu alifanya hivyo pia. kalisha makalio chini na pambana na hali yako.
 
Kunya anye kuku, akinya bara utasikia mara oooh kahara. Mona Askofu Pengo alipozungumza hukusumbua kuandika haya? Watanzania siasa imetujia vibaya sana. Tumekua wanafiki zaidi ya wale walitajwa kwenye maandiko matakatifu.
 
Bora hata umeniwah kumjibu huyu buku 7 maana
 
Kunya anye kuku, akinya bara utasikia mara oooh kahara. Mona Askofu Pengo alipozungumza hukusumbua kuandika haya? Watanzania siasa imetujia vibaya sana. Tumekua wanafiki zaidi ya wale walitajwa kwenye maandiko matakatifu.
Yule alitoa msimamo wa kanisa hakuja kumshambulia mtu/taasisi!
 
Mkuu hivi kanisa la Mchungwaji Msigwa linaitwaje? Maana naskia mchungaji mchungaji lkn kanisa analochungia kondoo halijulikan

Mama lwakatare mlima wa moto mbunge wetu huyu wa ccm kule ulanga nayakumbuka mashindano yake mama rwakatale cup
 
Taifa linawatu wajinga sana hili tayar magufuli kishafanikiwa kuligawa akitokea muumini yoyote anaeikosoa serikali basi huyo anafanya siasa.
 
Ni dalili kubwa upo ule mrengo wa dini biashara!
 
Taifa linawatu wajinga sana hili tayar magufuli kishafanikiwa kuligawa akitokea muumini yoyote anaeikosoa serikali basi huyo anafanya siasa.
ponda amepiga tiktaka na msuli kwa kua nyeti zake zimeonekana aibu yake chadema muda si mrefu watamkana!
 
ponda amepiga tiktaka na msuli kwa kua nyeti zake zimeonekana aibu yake chadema muda si mrefu watamkana!
na Pengo, ,,,kenge nyinyi, ccm imewagawa na chairman wao,,,Sasaivi mmebakia kama mandondocha, ,,,akiongea kweli kiongozi wa dini ya kiislamu mnasema anaingiza dini na siasa,,,akiongea mnafiki pengo hapo sawa hamna tatizo
 
ponda amepiga tiktaka na msuli kwa kua nyeti zake zimeonekana aibu yake chadema muda si mrefu watamkana!

Siku shehe wa mkoa akiachana na makonda yatakuwa haya haya ushaambiwa desmond tutu vipi? Tayar magufuli kishakuchukua ubaguzi huwaanzaga hivi hivi ponda hakuanza leo hayo mambo yake labda kama hapa karibuni akili yako ndo imeanza kujikita kwenye siasa za magufuli na makonda utaona jambo geni.
 
Hayo ni maoni yako tu.Anayetetewa (sheikh Ponda) si lazima afungamane na itikadi ya wakili (Prof Safari wa chadema)
Kwa hiyo si sahihi kusema Sheikh Ponda sasa ni mwanachadema!
 
Tabia ya kuichukulia nchi hii kuwa ni Mali ya mtu fulani ikome haraka sana la sivyo watanzania tutaendelea kudharaulika. Ukiachana na chuki za kishetani mlizonazo wewe mtoa thread pamoja na wenzako Sheikh Ponda hakuongea lolote baya na hakufanya siasa yoyote. Ukizungumza ukweli ambao haumnufaishi huyo mungu wenu ya Chatlo umefanya siasa na hata kama je kufanya siasa ni kosa kisheria? Hivi nyie nani amewaroga?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…