Sheikh Ponda akosoa utendaji wa Rais Magufuli

Sheikh Ponda akosoa utendaji wa Rais Magufuli

Fikra za udini zinajidhihirisha wazi wazi hususan hoja inapotolewa na mwenye imani ya dini ya kiislam utaona mtoa hoja anashambuliwa yeye mwenyewe binafsi na sio hoja yake inayojadiliwa utafikiri anayeshambuliwa si mwananchi
Fikra za namna hii hazijengi wala kuleta umoja na mshikamano bali hujenga uadui na chuki zisizo na tija kwa taifa

Kuna dhana kwa siku kadhaa sasa imekuwa ikisambazwa mitandaoni baada ya wahisani kutunyima msaada wao dhana hiyo ikiwataka wananchi wote kwa ujumla kama Taifa tujitegemee kiuchumi tusiwe omba omba
Dhana hiyo ni nzuri lakini haiwezi kuwa na matokeo mazuri kama kuna baadhi ya wananchi bado wana fikra za kubaguana kwa misingi ya udini
kuwa wenye itikadi fulani za kidini hawana haki ya kutoa maoni yao
Ubaguzi wa aina yoyote wenye kiashiria cha kudhalilisha kundi fulani ni sumu ya maendeleo popote pale duniani
Dhana ya kujitegemea itakuwa
ni nyimbo isiyo na manufaa yoyote ikiwa ubaguzi wa kidini utaachwa uendelee kushamiri
 
Ngoja na yeye wamtumbue tena,naona amepamiss jela.
 
Shee ponda,polepole,mkinga hawawatu wamejenga majina ILA ni pointless sanaaa.wangeanzishaga Tu chamachao cha siasa maana ni wajuaji wasiojua lamaana.
 
Alafu mnajiuliza kwaninj Mcc wametunyima misaada
Mkuu nchi hii ukijifanya msemakweli unapotezwa,bora katafute riziki ya wanao rudi shimoni kwako lala..ukitaka kugombana na serikali za kiafrika endekeza mdomo na ndicho anachokifanya Ponda,mwambieni atulie kashika makali hajashika mpini.
 
Wale magwiji wa Lumumba mbona siwaoni humu?hata yule bibi kizee haonekani kabisa,au hii mada wamekatazwa kuchangia?
 
watu wanakamatwa ready handed afu ufanywe uchunguzi tena??? wa nini?
 
Mnapima kwa kipimo cha lumumba?

Usifananishe mchele na maindi ponda ameandika point
Point gani? Kusimamisha mtu kupizha uchunguzi Ni kosa? Mf. Jitu linapokea mishahara 17 unatakiwa ulichekee ama? Hatutaki Rais anayevumilia uozo,nasisi tuko sanjari Naye kwanj tunajua anapewa taarifa za kutosha na wssaidiz wake
 
rais magufuli hata afanye mazuri yote, ila asipowatoa wale masheikh wa uamusho zanzibar kwa huyu sheikh ponda rais atakua hajafanya chochote.
 
Hawa ndio Mashekh sio Mashekh ubwabwa wetu hawajui chochote na hawajishughulishi.
 
Mzushi tu hana lolote lile, yy kwa akili yake anadhani JPM anafanya kazi kwa mawazo yake bila kushirikisha wataalamu? labda kwa taarifa tu ni kwamba hizo taarifa zipo nyingi tu pale ikulu wala hazisubiri hizi za juzi, kimsingi zilikuwa hazifanyiwi kazi na ndo JPM kaanza nazo, nadhani Ponda kapotoka2.
 
Ikulu haindeshwi kwa maandishi yanayoandikwa kuelekea kushoto.Nyie mliosoma madrasa,ambao nahisi hata hamkumaliza,ndiyo mnaona kuna facts ndani yake ,kwa upuuzi aliousema huyu Ponda.
Inaendeshwa kwa maigizo?
 
Point gani? Kusimamisha mtu kupizha uchunguzi Ni kosa? Mf. Jitu linapokea mishahara 17 unatakiwa ulichekee ama? Hatutaki Rais anayevumilia uozo,nasisi tuko sanjari Naye kwanj tunajua anapewa taarifa za kutosha na wssaidiz wake
Je kuna ambao wameondolewa hatujaambiwa sababu wala nini
 
Back
Top Bottom