Sheikh Ponda akosoa utendaji wa Rais Magufuli

Mwanahalisi online. That's all I got from this. Dr. Kubenea is da man. Kama unabisha kamuulize Lowassa!
 
Mwabieni Sheik Ponda akasome kwanza Repoti za CAG za kuanzia mwaka 2009/10 mpaka 2013/14.

Rais Magufuli na jopo lake wanachofanya ni kuzisoma hizo repoti na kutumbua majibu.

Kama vipi anaweza kuingia kwenye tovuti ya National Audit Office;
Haah. Yaani sipati picha kabisa kumuona Magufuli kwenye lile benchi la pale mahakama ya kisutu! Mbona Ripoti ya GAG ilimtaja yeye na ufisadi kwenye kuuza nyumba za serikali! Duu kumbe mara hii haponi fisadi yoyote vile.

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
 
SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, amekosoa utendaji wa Rais John Magufuli, hasa dhana ya kutumbua majipu, akisema ina kasoro za kiutawala, anaandika Happiness Lidwino.

Akizungumza na Mwanahalisi Online leo, Sheikh Ponda amesema utendaji wa Rais Magufuli ni wa kulipualipua.

“Ni kweli kwenye serikali kulikuwa na matatizo mengi, lakini lazima utaratibu kamili wa kuchukulia watu hatua ufuatwe,” amesema na kuongeza:
“Huwezi kuchukulia hatua watu bila kuwa na ripoti ya kitaalamu. Huko ni kufanya kazi kwa kulipuka.

Watanzania watafurahi zaidi kama serikali haitaingia hasara kutokana na kazi hiyo iliyo na shaka katika utekelezaji wake.”
Amesema ingekuwa bora kwa Rais Magufuli kusubiri ripoti za wataalamu wake, na si ‘kutumbua majipu’ kabla ya kupata ripoti.

Anasisitiza, “jambo hili halipo sawa hata kidogo.”
Anasema dhamira ya kurejesha nidhamu serikalini ni nzuri na inahitajika sana, lakini namna ya utekelezaji wa dhamira yake hakuuanza vizuri.

“Juzi Rais Magufuli amepokea ripoti kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Angepaswa kuanza kuifanyia kazi ripoti hiyo ili kuepuka madhara kama yale ya kukamata meli ya uvuvi kwenye Pwani ya Dar es Salaam mwishowe serikali ikaingia gharama,” amesema Sheikh Ponda.
huyu naye!..ingefaa atulie kwanza kabla hawajampa kesi ya uchochezi.
 
Kuna wachangiaji wanamjadili mtoa hoja badala ya kujadili hoja iliyowasilishwa ili ijadiliwe kisa Magufuli kakosolewa

Ukweli ni lazima usemwe Magufuli anatabia ya kukurupuka historia yake inajionyesha rejea meli ya samaki kama Taifa tunalipia fidia ya mabilioni ya shilingi kwa wenye meli pia itakumbukwa mgomo wa malori nchi nzima kwa siku nne mfululizo mpaka aliyekuwa waziri mkuu Pinda kulazinika kuondoa amri ya Magu wakati huo akiwa waziri wa ujenzi iliyoleta kizaazaa nchi nzima
Sasa yeye ni Rais wa nchi inafaa aangalie kwa umakini na busara kubwa kila jambo kwa sababu hakuna atakayeiondoa amri yake yoyote na ikiwa itakuwa na kasoro basi watakaoumia ni sisi wananchi wa kawaida
 
Nyumba za Serekali barabara zenye Uwezo wa Big G
 
Tan
SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, amekosoa utendaji wa Rais John Magufuli, hasa dhana ya kutumbua majipu, akisema ina kasoro za kiutawala, anaandika Happiness Lidwino.

Akizungumza na Mwanahalisi Online leo, Sheikh Ponda amesema utendaji wa Rais Magufuli ni wa kulipualipua.

“Ni kweli kwenye serikali kulikuwa na matatizo mengi, lakini lazima utaratibu kamili wa kuchukulia watu hatua ufuatwe,” amesema na kuongeza:
“Huwezi kuchukulia hatua watu bila kuwa na ripoti ya kitaalamu. Huko ni kufanya kazi kwa kulipuka.

Watanzania watafurahi zaidi kama serikali haitaingia hasara kutokana na kazi hiyo iliyo na shaka katika utekelezaji wake.”
Amesema ingekuwa bora kwa Rais Magufuli kusubiri ripoti za wataalamu wake, na si ‘kutumbua majipu’ kabla ya kupata ripoti.

Anasisitiza, “jambo hili halipo sawa hata kidogo.”
Anasema dhamira ya kurejesha nidhamu serikalini ni nzuri na inahitajika sana, lakini namna ya utekelezaji wa dhamira yake hakuuanza vizuri.

“Juzi Rais Magufuli amepokea ripoti kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Angepaswa kuanza kuifanyia kazi ripoti hiyo ili kuepuka madhara kama yale ya kukamata meli ya uvuvi kwenye Pwani ya Dar es Salaam mwishowe serikal ikaingia gharama,” amesema Sheikh Ponda.
tangu mwaka 1995 Ponda anajiita katibu wa kutetea haki za waisslam sijui huo uchaguzi ulifanyika lini na wapi, hebu mwenye kumbukumbu atusaidie, kuna watu wanajifanya wasemaji wa waislam kumbe wasemaji wa matumbo yao
 
Leo unataka kujua kwakua kaguza CCM
 
Huo ndio ukweli tutaingia kwenye gharama za kuwalipa wahanga soon,
Kumbe na masheikh huwa wana akili.
Ponda kumbe ukitulia unafaa, umenena vyema, wakati viongozi wengine wa dini zetu wanajikomba karibu wamuite mungu
 
Kwa vile sheikh Ponda kawagusa watawala basi watasema anachanganya dini na saisa! Lakini akisema yule shehe war dar kuisifia CCM na watawala basi ni sawa. Halafu serikali inadai "watanzania tuombeeni". Kwa vile wanafanya maovu na dhuluma kwa kukusudia si watanzania wote ambao tutawaombea. Wengine tutailaani serikali kila pale inapokusudia kufanya uovu kwa makusudi.

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
Binafsi ninamuunga Ponda mkono
 
Ukisoma habari hii unagundua imetoka kwa mtu ambaye kama ni shule,aliishia darasa la pili.
Ninachokiona, maoni ya mzee Ponda yanetolewa kiuhalisia, tena kwa facts na ueledi tena wa kisomi.
Kinyume chake, wewe mchangiaji ni mbumbumbu wa level ya ngumbaru. Yaani facts zote hizo za Mzee Ponda hukupata hata moja?
 
Mkuu,mambo mazuri anayofanya rais na kubadilishia gear angani huku ukijua kuwa unahatarisha maisha ya abiria(wafuasi) wako,nani mkurupukaji hapo?
Maigizo ndio mabaya maana mcc wanaweza kukupa jibu
 
Back
Top Bottom