Sheikh Ponda akamatwa Dar!


kwanza kabisa napenda kukuhakishia, uislamu na waislamu hawana chuki na ukristo na wakristo. Wala hatufundishwi kufanya hivyo. Napenda nikuahidi, mimi nataka kuanza mafunzo maalum kusisitizia kutokua na uhasama na wasio kua waislamu.

Baadhi ya viongozi wa makanisa, huwafundisha kwa siri sana waumini wao kuuchukia uislamu. Ndio maana vijana wengi wa kikristo hua na chuki kisirisiri dhidi ya uislamu.

Hufundishwa kuutakana na kuukashifu uislamu wakati sisi tunafundishwa kuto kumtakana nabii issa (yesu kristo), wala vitabu vya mwenyezi mungu zaburi, taurati na injili.

Hua sisi tunasisitiza kuwaambia majirani zetu kua, yesu sio mungu, mungu sio watatu na wala yesu sio mwana wa mungu (ki-biolojia).

Hua tunalithibitisha hilo kwa maandiko yale yale yalioko ndani ya biblia.

Waislamu wote wanajua utukufu wa qur-an tukufu. Kwa hiyo yoyote atake ifanyia kitendo cha dharau, hata watoto wanaweza kumhukumu.
 
dini zenyewe mliletewa na wakoloni kwenye
Mitumbwi, leo hii hamna la maana mnalofanya
kutwa kuchwa ni kukashfiana na
kudharauliana...
Wenzenu waliowaletea wako makwaoo
wanafanya shughuli za maendeleo, nyie kila siku ni tafrani tu, uchumi wa nchi mbovu, maisha
yanazidi kuwa magumu kila kukicha aaaggh.... mbaaaav
 
sasa kaka mie najiuliza mbona watu wanachoma makanisa? kwani polisi imejaa wakristo? ama anaetoa tamko la kumkamata sheikh ponda ni mkristo? ama kova ni dini nyingine? iweje makanisa yanachomwa?? kwani mmemsikia mkristo yeyote akitoa tamko dhidi ya waislamu ndani ya week mbili, achana na yule mtoto mjinga asiejua alitendalo....mie nadhani mnavyo deliver hisia zenu sio sahihi? amri ya kumkamata sheik ponda haijatolewa makanisani bali serikalini na makao makuu ya polisi, hivyo acheni kuchoma makanisa...si vizuri kuingia katika vita zaa kidini tutauana bure akati ni ndugu hapa....
 
kova kama unavuta tumbaku kuna heka 3 shamban kwang.bado hii radio imman hawana jipya uchochez tu jamaan mbona mtume kafanya meng ayasimuliw kama ujasiliamal na menngine meng mema
 

Unapenda kuundeleza kuongea.
 
suala sio kuchukia au kupenda kundi fulani.suala la kupenda au kutopenda kitu ni la kisaikologia na silahiari (non-voluntary action).suala hapa ni kundi moja kuwafanyia uharibifu kundi jengine.
 
swadakta! umenena vyema mkuu.yaani umetema madini hapa.ningeweza ningekupa certificate of competence
 
Duh...!. Nilisoma bila kusoma tarehe... kumbe...
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…