Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,308
- 18,485
Kila laheri Sheikh Ponda.Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 anatarajiwa kutangaza kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.
Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda atatangaza uamuzi huo mbele ya viongozi waandamizi wa chama hicho katika mkutano na waandishi wa habari utakaofanyikia makao makuu yake, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Tayari ACT-Wazalendo imetoa matangazo ya kuonesha kuna ‘mwamba’ ambaye atajiunga nao. Kumekuwa na maswali mengi ni kiongozi gani huyo?
Sheikh Ponda anatarajia kujiunga pamoja na watu wengine wanaomuunga mkono na huenda akawa miongoni mwa wale watakaoomba ridhaa ya kuwania ubunge katika moja ya majimbo jijini Dar es Salaam.
Chanzo Mwananchi
Mgombea uraisKatibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 anatarajiwa kutangaza kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.
Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda atatangaza uamuzi huo mbele ya viongozi waandamizi wa chama hicho katika mkutano na waandishi wa habari utakaofanyikia makao makuu yake, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Tayari ACT-Wazalendo imetoa matangazo ya kuonesha kuna ‘mwamba’ ambaye atajiunga nao. Kumekuwa na maswali mengi ni kiongozi gani huyo?
Sheikh Ponda anatarajia kujiunga pamoja na watu wengine wanaomuunga mkono na huenda akawa miongoni mwa wale watakaoomba ridhaa ya kuwania ubunge katika moja ya majimbo jijini Dar es Salaam.
Chanzo Mwananchi
Aiseeh nae anaamini atapata Jimbo lolote??Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 anatarajiwa kutangaza kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.
Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda atatangaza uamuzi huo mbele ya viongozi waandamizi wa chama hicho katika mkutano na waandishi wa habari utakaofanyikia makao makuu yake, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Tayari ACT-Wazalendo imetoa matangazo ya kuonesha kuna ‘mwamba’ ambaye atajiunga nao. Kumekuwa na maswali mengi ni kiongozi gani huyo?
Sheikh Ponda anatarajia kujiunga pamoja na watu wengine wanaomuunga mkono na huenda akawa miongoni mwa wale watakaoomba ridhaa ya kuwania ubunge katika moja ya majimbo jijini Dar es Salaam.
Chanzo Mwananchi
Kabisa!Hongera kwao, huyu Sheikh ni msema kweli
Inawezekana ni kweli kajiunga ACT!Mwaka 2020 alizunguuka nchini kumnadi Lissu kwenye kampeni za urais
Shekhe umeende sipo,sijui kama unaujua ukweli wa hicho chamaKatibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 ametangazwa kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.
Pia, Soma: Sheikh Ponda mbioni kutua ACT Wazalendo, huwenda akatangazwa leo
Kobazi namba moja naempa heshima sana ni huyu sheikh...huyu ni muislamu haswaaa he doesn't fake.Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 ametangazwa kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo.
Pia, Soma: Sheikh Ponda mbioni kutua ACT Wazalendo, huwenda akatangazwa leo
mkiambiwa hamsikii, kwa nini hajajiunga na chadema? act ni cuf b ambapo ipo kwa ajili ya kulinda na kutetea maslahi ya waislamu wa tanzagiza, wapi a Christian party? mnaona haya? oh nilisahau ninyi ni civilized na mmekwenda shule, sawa btw msisahau kuwatakia idi na mfungo mwema wa Ramadhani kareem …