Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,670
Ni roho mbaya kumuombea mwenzako mabaya,Ponda akibak rumande utapata faida gani?Hakika unatambua mnachokiweza siku hizi
Ni roho mbaya kumuombea mwenzako mabaya,Ponda akibak rumande utapata faida gani?Hakika unatambua mnachokiweza siku hizi
Washamba wawili wa chato na kolomije wanawatesa Wapinzani mpaka 2020 itakuwa wamekondaKweli tunaongozwa na washamba
Nikushukuru tu kwa kutokunielewa na kuniwekea maneno humu jamvini.Ni roho mbaya kumuombea mwenzako mabaya,Ponda akibak rumande utapata faida gani?
Huwezi kuitenganisha dini na siasa. Yaani hakuna mpaka unaoweza kuonesha kwamba hapa ndio dini inaishia,...sasa unaingia kwenye siasa, hakuna. Vyote vipo pamoja na vinafanywa na binadamu huyo huyo ambaye ana dini na anashiriki siasa vilevile.Ponda Fanya dini acha siasa
Ila mwanya sio mchochezi?Huo ndio ukweli Ponda ni mchochezi aliye kubuhu
Akifuatiwa na Musa Kundecha, Mohammad Issa, Ally Basaleh na Suleiman Kilemile.
Huyu ni Shekhe mahsusi wa Lowassa,na huwa hakosekani katika ziara zote za Lowassa za kisiasa,hapa naunganisha nuktaSheikh Rajabu Katimba Msemaji wa Baraza la Taasisi za kislamu amethibitisha.
Umemsahau KatimbaHuo ndio ukweli Ponda ni mchochezi aliye kubuhu
Akifuatiwa na Musa Kundecha, Mohammad Issa, Ally Basaleh na Suleiman Kilemile.
Mnajulikana kwa visigino na nyao zenu.Huyo Ponda bila kupewa adhabu kali uchochezi (au kejeli) hawezi acha
Polisi wamekosea sana kumwachia