Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.
Naamini anaweza kudai fidia sasa....Wamemnyanyasa sana mzee wawatu.....
Hivi kila ukishinda kesi unaruhusiwa kudai fidia?
Niliwahi kusema hapa Jukwaani kuwa Ponda baada ya Uchaguzi Mkuu ataachiwa huru.
hivi huu utamaduni, upo katika serikali yetu
Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.
Haya Ponda kaatulie sasa..
Sio baada ya wiki tuanze kukusikia kwenye CD
Hivi kila ukishinda kesi unaruhusiwa kudai fidia?
Haya Ponda kaatulie sasa..
Sio baada ya wiki tuanze kukusikia kwenye CD
Magufuli kamuokoa... ila huyu jamaa asipo jiunga ISIS au Al-Shabab, mtaona...!!
Ampigie magoti Magufuli...!! Hongera Magufuli, umetenda haki..
ShEikh Ponda alianza kuisumbua serikali toka enzi za Mwinyi, akaja Mkapa akaja Jk wote wamemshindwa, sasa ni zamu ya Ngosha, tuone kama ataweza.
Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.
Ndio tunaanza ukurasa mpya tumuone kama atajirekebisha au ataendelea na ligi.