PreGE2025 Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa na hafai kuwa kiongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.

Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

View attachment 3312503
Basi sheehe upigiwe debe uwe wewe kiongozi,ili ufanye yaliyobora zaidi?
 
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.

Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

View attachment 3312503
Hivi huyu haamini siku moja Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi,ataificha wapi aibu yake?
Wajinga kama hawa huwa hawasomi alama za nyakati
 
wazee wa kobaz wanataka kuingia kwenye mtifuano na wagilalaya.

halafu mapema tu wagilalaya wanashinda

idadi ya kobaz wote tz ni equivalent na wasukuma tu
 
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.

Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

View attachment 3312503
Ustadhi anaeleza ukweli mtupu tena hadharani kwa faida ya wadau wa JF na waTanzani wate kwa ujumla :KasugaYeah:
 
With all due respect, Sheikh Mwaipopo’s statement is unfair. Tundu Lissu has consistently stood for justice and human rights. His arrest does not prove he is unfit to lead. In fact, Allah says in the Qur’an:

“O you who have believed, be persistently standing firm in justice, witnesses for Allah...”
(Surah An-Nisa, 4:135)

True leadership is shown through courage in standing for justice, not through silence in the face of oppression.
 
Yaani uongo uongo na maliziano yasiyoeleweka ndio mnataka kuita SIASA, watu wakija na hoja nzito na kuzisimamia ndio tuwaite hawajui siasa?..
 
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.

Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

View attachment 3312503

Go1AooyWkAAXLJB.jpeg
 
wazee wa kobaz wanataka kuingia kwenye mtifuano na wagilalaya.

halafu mapema tu wagilalaya wanashinda

idadi ya kobaz wote tz ni equivalent na wasukuma tu
Si kweli
 
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.

Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

View attachment 3312503
Huyo shekhe ajibu kuhusu tume ya uchaguzi kutakuwa huru.
La sivyo aache kuonesha udini wa waziwazi.
Nchi yetu sio ya kidini.
Na dini hizi zituunganishe na sio kututenganisha.
 
Back
Top Bottom