Sheikh Mohamed; Sio 'wivu' wa kidini, ni fedha zetu, only

Hivi kule kenya ambako waislam ni wachache (20%) so ndo walitakiwa wakatae kwa sana tu? Mbona wameona logic na ikawepo? Kule south Africa Je? nako ni waislam pekee au ni % ngapi? Na kwengineko kwingi, hebu angalieni kwenye mtandao mtaona. Je waislam ni % ngapi hapa Tz? Si zaidi ya 50%. Je wingi huo wote ni wakupuuzwa?
halafu pia wewe yaelekea ni kilaza wa hesabu, hebu cheki mfano wa mchanganuo huu hapa chini
hakimu1-----kesi za kawaida 20+za mambo ya waislam 5 ======25
hakimu2------ 20+ 5=======25
hakimu 3------ 20+ 5=======25
hakimu 4----- 20+ 5=======25
Hakimu5----- 20+ 5=======25
-----------------------------------------------------------------------------------
Total 100 + 25=======125

kama uwezo wa hakimu ni kuhukumu kesi 25 mathalani kwa mwezi na katika kesi hizo zipo 5 ambazo kadhi alitakiwa kuzitenda, why don't we have professional kuliko kuwa na mtu wakubahatisha mara awaite mashehe nini! ubabaishaji mtupu. Hivi mnasema eti na wakristo nao waanzishe zakwao, kwani wao wanasheria? kuna nchi ngaki zenye wakristo karibia wote nitajieni ni nchi gani inaongozwa kw sheria zake? nchi zenye waislam je? kenye mbona kuna mahakama ya kathi kwani nini kawaanzishi hizo za kikrsto tuzione? hawa si jirani zetu kwanini tusijifunze kutoka kwao?
Hivi kama wakoloni waliona ni muhimu kwa waislam kuwa na mahakama ya kadhi imekuwaje waTz wenzetu hawaoni umuhimu huo. NA SEMA HIVUI HUU NI UNAFIKI, NA NI WIVU WAKIDINI. PERIOD!

Hakuna cha PERIOD ,kama mahakama ya kadhi inatakiwa kwa hamu sana ,anzisheni na isiwe mzigo wa serikali...KOMA!!!
 
Salaam aleikhum
ndugu zangu waislamu inabidi tuwe makini sana kama jamaa alivyoshauri hapo juu. Kudai mambo bila kuangalia mbele hatutajenga na itatuharibia amani tuliokuwa nayo.
Sisi tunaamini ya kuwa maswala ya kadhi,mirathi ni moja ya ibada, na hapohapo tunataka serikali ighalimie ibada yetu. Je kamahela hiyo anaitoa mkristo ambae biashara yake ni kuuza nguruwe na sisi tunaamini kuwa kitimoto ni haramu,unafikiri ibada yetu itafanyika? Au kama hela hizo zitatoka kwa muisrael ambae sisi tunadhani anawaua ndugu zetu wa palestina na kuwanyonya je hapo ibada itakuwaje?
Nasema sisi waislamu bila unafiki tunamatatizo. Angalia nchi kama somalia ambayo ina waislamu watupu kuna matatizo kila kukicha. Angalia pakistani,afghanistani, yemeni,misri nk. Sasa tutawahakikishiaje wakristo kuwa tutakuwa na amani kama tutakuwa na mahakama yetu.
Waislamu wenyewe tu hatupendani: Ebu angalia ktk misikiti watu wanauana waumini wa dini moja na kudai kuwa tutakwenda ahera. Mfano ni kule pakistani. Utakuta ndugu zetu washia wanawaua wasuni na wasuni wanawaua wa shia sasa hapo utasemaje??
Mwaka jana ndugu zetu wengi wapikistani walikufa kutokana na mafuriko, je sisi waislamutulitoa mchango gani kwa hao waathirika? Waliotoa mchango mkubwa walikuwa hao ``makafiri`` wakati kunamatajiri wengi sana waislamu. Lakini kama wangeomba hela za misikiti, hao waarabu wangetoka bila hata kusita. Sasa hapo ndipo unapotofautiana na makafiri
kjitenga au kutafuta maslahi yetu sisi peke yetu waislamu haijengi chochote na tutauana wenyewe kwa wenyewe. Tutanza kuwabagua wakristo na baadae tutazidi kubaguana wenyewe kwa wenyewe. Sisi wenyewe hapa tz hatupendani na wenzetu wa ansal sunna, shia nk. Sasa tutaanzaje kuwabagua hayo madhehebu mengine!!
Unafiki mwingine unakuwa kwa sisi waislamu, kwa ninitukipata matatizo ktk nchi zetu tunakimbilia nchi za kikristo(ulaya,marekani) wakati tunajua kuwa hao jamaa ni ``kafiri`` kwa nini tusiende afganistani au somalia au sudani au hata saudi arabia kwenye chanzo cha uislamu? Mie naona sisi ni wanafiki (samahani)
masalaam

Yaani unaanza na kujinasibisha na Uislamu ili watu waamini hayo unayosema? Muislamu gani huyu asiejuwa adui wa uislamu Duniani ni nani? Kweli Somalia, pakistani, Afganistani, iraki wanauwana! lakini unajifanya hujui chanzo cha mauaji hayo? sasa itabidi nikurudishe darasani tena:

Somalia kuna serikali kibaraka cha nchi za Magaribi na USA ambayo imeundwa nje ya Somalia ili kuzuia sheria ya Kiislamu isifanye kazi na hivyo Serikali hiyo kupitia Jeshi mamluki toka Uganda wameingia vitani na Wanaharakati wa Somalia na kwa kuwa kuna vita huko basi wanaoumia ni raia wa kawaida!

Iraki- huko hakuna asiejuwa kuwa Marekani na Uingereza waliivamia nchi hiyo ili kupora mafuta yao, kinyume na madai ya silaha za maangamizi! na wanatumia falsafa ya divide and rule kwa kusababisha chuki miongoni mwa wa Iraki! mbona wakati wa Saddam Hussein hakukua na vita kati ya Shia na Sunni?

Afganistan- Nchi hii pia imevamiwa kijeshi na kutawaliwa kwa nguvu na hao Western Countries sababu ni kuwa hawataki sharia law iliyoanzishwa na utawala wa Taliban na wamevamia huko kwa kisingizio bandia cha kumsaka Osama!

Hii ni mifano tu ya nchi za kiislamu zenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe na chanzo ni hawa maadui wa dini ya Kiislamu!

Sasa hapa kwetu TZ waislamu wanataka mahakama za Kadhi iliyoidhinishwa ktk katiba na ni haki Serikali igarimie kwa sababu Waislamu ni sehemu ya watanzania na wao hulipa kodi serikalini tena hulipa zaidi kuliko watu jamii zingine zote kwa sababu Waislamu wengi ni wafanyabiashara!
hivyo dai lako la kusema Waislamu watapata dhambi kwa kupata ruzuku ya kuendeshea Mahakama zao halina msingi kwa sababu fedha hizo za kodi zimetoka kwa Watanzania na Waislamu ni miongoni mwa hao!

Unawatukana Waislamu na kuwaita wanafiki ati kwa sababu wakipata shida wanakimbilia nchi za Magharibi! hivi nakuuliza kama nchi hizo za Magharibi ndio chanzo cha matatizo hayo, kuna ubaya gani na wao angalau wakafidia kidogo hasara walizosababisha ktk nchi za Kiislamu?
Hivi hujawahi kusikia kauli za baadhi ya viongozi wa Kiafrika wakidai fidia toka kwa Wazungu kwa madhila wakati wa ukoloni?

Kuhusu Pakistani na msaada wa mafuriko unawalaumu Waislamu kuwa hawakutoa msaada bali ni wazungu ndio waliosaidia! wewe una ushahidi gani kuwa Waislamu hawakutoa mchango wao? au kila mchango ni lazima upitie ktk TV zenu za CNN, BBC, FOXNEWS nk? kwa taarifa yako msaada wanaotoa Waislamu kwa Wenzao wakati wa maafa ni mkubwa zaidi kuliko msaada wa nchi za Magharibi! mfano, Ulaya ikitoa dola milioni 100 hupitia ktk mashirika yao kama vile RED CROSS na 90% ya msaada huo huishia kulipia gharama za uendeshaji kama vile mishahara na posho za wafanyakazi wao na sehemu inayobakia ndio inawafikia walengwa! wakati misaada ya Waislamu kwa wenzao hutumwa moja kwa moja kwa walengwa na mifano tumeona huko Pakistani na vita vya msalaba huko Bosnia herzegivina miaka ya 90!

Ushahidi huu hapa soma: Pakistan floods: Saudi Arabia pledges $100m | World news | The Guardian
 
Hakuna cha PERIOD ,kama mahakama ya kadhi inatakiwa kwa hamu sana ,anzisheni na isiwe mzigo wa serikali...KOMA!!!
Kama Watanzania wenyewe wa Tanzania ijayo ndio wewe basi tena! Na kama ukoo wenu ndio unakutegemea duh sijui!
 
Hayo yote wanayajua moyoni ila hadharani wanatamka kinyume chake!
Sababu zake zinaeleweka kwa wenye akili timamu kwa maana hayakuanza leo. NA KWA SABABU HAWATAKI KUIANGALIA LEBANON HAYA NA TUSUBIRIE!
 
al-Taqiyya
 
Mimi nakubaliana kabisa na mtoa hoja!! Tatizo kubwa ni pesa zetu???

Kama serikali imeshindwa kujenga shule za kutosha. Imeshindwa kujeanga hosipitali za kutosha, Imeshindwa kutoa kuwapa wananchi wake maji na umeme, Imeshindwa kujenga barabara, imeshindwa kusomesha. Kama serikali yetu haina hata pesa za bajeti yake yenyewe na inategemea wafadhiri kwa zaidi ya asilimia. Leo itawezaje kutwambia ina uwezo wa kuendesha mahakama ya kadhi wakati hata zilizopo inashindwa. Huo uwezo watautoa wapi??

Just imagine?? Tanzania ina wilaya kama 300 (I ma not sure) sasa kama walau tu kila wilaya itaajiri Kadhi mmoja hivi gharama itakuwa ni kiasia gani kwa makadhi 300?? na ukiangalia kwa mabli zaid kadhi kwa mmoja kwa wilaya hatoshi, sasa ukimultiply by 3 watahitajika walau 900+. Je mahakama ya kadhi itatumia infrastructure zipi?? So far infrastructure iliyopo sasa haitoshi. Je serikali itabidi igharamikie hilo pia??

Unless kama kutakuwa na mkataba maalumu na waarabu kufadhiri hili. Au Mnataka kuniambia Kadhi hawatalipwa???
 
Kama serikali itaamua kugharamia mahakama ya Kadhi manaye lazima iakikishe hao "Makadhi" wanapatikana kila eneo la nchi kwa sababu shughuli za Kadhi ni masuala ya ndoa na Mirathi na hivyo vitu viko kila kijiji na mtaa wa Tz yetu!

Iweje useme Kadhi mmoja kwa kila Wilaya? Je haki ya ki-katiba haitakuwa imekuukwa kwa kufanya watu watumie gharama kubwa kufunga safari kwenda kwa Kadhi kutafuta haki yao? Hiyo haikubaliki.

Si mishahara tu inayozungumziwa hapa, hata training kwa huyo Kadhi. Kwa vile atakuwa mtu wa kutoa haki lazima serikali iakikishe wanapatiwa mafunzo sahihi, Hivyo kama hayo mafunzo yako kwenye "madrasa" ni wajibu wa serikali kuzijengea uwezo hizo madrasa hili ziweze kuota Kadhi ambaye ni Competent!

Wasiwasi wangu ni pale dini nyingine zikileta Proposal kama hizo, je tutaweza kukataa?

Je nani atasimamia uteuzi wa maKadhi? Serikali, BAKWATA, .......? na hapo ukomo wa mkono wa serikali katika dini utaishia wapi?

Je itakuwa lazima kwa kila Muislam kupelekwa kwa Kadhi au mtu atakuwa na uhuru wa kuamua mahakama gani anataka ishughulikie mambo yake?

Na kama hukumu ya Kadhi haina Rufaa je tutasalimika na hii hali ya rushwa tuliyonayo hapa nchini? Wapo watakosema kwenye dini mara zote watu utenda haki lakini hiyo sikweli. Tumeona watu wakila michango ya makanisa na misikiti, au Uongo ndugu zangu?

Haya ni Maswali tu, tujiulize wakati tukiajadili uanzishwaji wa mahakama ya Kadhi.
 
Asante mkuu tatizo la wenzetu ni kuwa wako very myopic na short sighted badala ya kufanya kazi za kiuchumi na kusoma ili kuondoa ujinga wao wanakazania marumbano yasiyokuwa na tija kwa nchi yetu!

Soma kitabu cha Dr. Sivallon ' Kanisa katoliki na siasa za Tanzania ' uone jinsi waislamu walivyo minywa tangia enzi za uhuru wa nchi hii. Na Nyerere ndio chanzo cha yote
 
Mimi nakubaliana kabisa na mtoa hoja!! Tatizo kubwa ni pesa zetu???

Kama serikali imeshindwa kujenga shule za kutosha. Imeshindwa kujeanga hosipitali za kutosha, Imeshindwa kutoa kuwapa wananchi wake maji na umeme, Imeshindwa kujenga barabara, imeshindwa kusomesha. Kama serikali yetu haina hata pesa za bajeti yake yenyewe na inategemea wafadhiri kwa zaidi ya asilimia. Leo itawezaje kutwambia ina uwezo wa kuendesha mahakama ya kadhi wakati hata zilizopo inashindwa. Huo uwezo watautoa wapi??

Just imagine?? Tanzania ina wilaya kama 300 (I ma not sure) sasa kama walau tu kila wilaya itaajiri Kadhi mmoja hivi gharama itakuwa ni kiasia gani kwa makadhi 300?? na ukiangalia kwa mabli zaid kadhi kwa mmoja kwa wilaya hatoshi, sasa ukimultiply by 3 watahitajika walau 900+. Je mahakama ya kadhi itatumia infrastructure zipi?? So far infrastructure iliyopo sasa haitoshi. Je serikali itabidi igharamikie hilo pia??

Unless kama kutakuwa na mkataba maalumu na waarabu kufadhiri hili. Au Mnataka kuniambia Kadhi hawatalipwa???

Mbona kodi hizo hizo zinafadhili shule na hospitali za kanisa ambazo waislamu hawasomi? Na wao je wakisema hela zao tutafika wapi ?.
 
tatizo nadhni ni wivu wa kidini, kwani kama sio wivu nini? kwani mnasema waislam ni ndugu zenu, rafiki zenu. inamaana ni rafiki wa maeno bila ya vitendo? unahofia fedha yako kutumiwa na rafikl yako> unaumia fedha yako kutumia ndugu yako? halafu unasema sio wivu wa kidini?

Tunaogopa msije kumkata mikono mkwere na RA kwa wizi.
 
Hata hivyo pamoja na hoja zako shehe, mi napenda kukujulisha yafuatayo
1. Hoja kuwa wasio waislamu wanakataa kadhi kwa sababu ya 'wivu' wa kidini, kwangu mimi sio kweli, mi (naamini na wengi wasio waislamu) nakataa kadhi kwa sababu ya kodi yangu.
2. Hoja yako kuwa mahakimu wa serikali wa kawaida bado wanafanya kazi za kadhi ni sahihi lakini kumbuka hawa hawafanyi tu za kadhi, wanahukumu pia kesi za kimila (kikabila), kiukoo nk. Kama tukisema awepo hakimu (kadhi) anayelipwa na serikali leo, then tutawakataliaje wasambaa wakitaka hakimu wao atakayehukumu kesi zao za kimila? wapare je? wasukuma/ nk.

...

kula tano!
 
Yaani unaanza na kujinasibisha na Uislamu ili watu waamini hayo unayosema? Muislamu gani huyu asiejuwa adui wa uislamu Duniani ni nani? Kweli Somalia, pakistani, Afganistani, iraki wanauwana! lakini unajifanya hujui chanzo cha mauaji hayo? sasa itabidi nikurudishe darasani tena:

Somalia kuna serikali kibaraka cha nchi za Magaribi na USA ambayo imeundwa nje ya Somalia ili kuzuia sheria ya Kiislamu isifanye kazi na hivyo Serikali hiyo kupitia Jeshi mamluki toka Uganda wameingia vitani na Wanaharakati wa Somalia na kwa kuwa kuna vita huko basi wanaoumia ni raia wa kawaida!

Iraki- huko hakuna asiejuwa kuwa Marekani na Uingereza waliivamia nchi hiyo ili kupora mafuta yao, kinyume na madai ya silaha za maangamizi! na wanatumia falsafa ya divide and rule kwa kusababisha chuki miongoni mwa wa Iraki! mbona wakati wa Saddam Hussein hakukua na vita kati ya Shia na Sunni?

Afganistan- Nchi hii pia imevamiwa kijeshi na kutawaliwa kwa nguvu na hao Western Countries sababu ni kuwa hawataki sharia law iliyoanzishwa na utawala wa Taliban na wamevamia huko kwa kisingizio bandia cha kumsaka Osama!

Hii ni mifano tu ya nchi za kiislamu zenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe na chanzo ni hawa maadui wa dini ya Kiislamu!

Sasa hapa kwetu TZ waislamu wanataka mahakama za Kadhi iliyoidhinishwa ktk katiba na ni haki Serikali igarimie kwa sababu Waislamu ni sehemu ya watanzania na wao hulipa kodi serikalini tena hulipa zaidi kuliko watu jamii zingine zote kwa sababu Waislamu wengi ni wafanyabiashara!
hivyo dai lako la kusema Waislamu watapata dhambi kwa kupata ruzuku ya kuendeshea Mahakama zao halina msingi kwa sababu fedha hizo za kodi zimetoka kwa Watanzania na Waislamu ni miongoni mwa hao!

Unawatukana Waislamu na kuwaita wanafiki ati kwa sababu wakipata shida wanakimbilia nchi za Magharibi! hivi nakuuliza kama nchi hizo za Magharibi ndio chanzo cha matatizo hayo, kuna ubaya gani na wao angalau wakafidia kidogo hasara walizosababisha ktk nchi za Kiislamu?
Hivi hujawahi kusikia kauli za baadhi ya viongozi wa Kiafrika wakidai fidia toka kwa Wazungu kwa madhila wakati wa ukoloni?

Kuhusu Pakistani na msaada wa mafuriko unawalaumu Waislamu kuwa hawakutoa msaada bali ni wazungu ndio waliosaidia! wewe una ushahidi gani kuwa Waislamu hawakutoa mchango wao? au kila mchango ni lazima upitie ktk TV zenu za CNN, BBC, FOXNEWS nk? kwa taarifa yako msaada wanaotoa Waislamu kwa Wenzao wakati wa maafa ni mkubwa zaidi kuliko msaada wa nchi za Magharibi! mfano, Ulaya ikitoa dola milioni 100 hupitia ktk mashirika yao kama vile RED CROSS na 90% ya msaada huo huishia kulipia gharama za uendeshaji kama vile mishahara na posho za wafanyakazi wao na sehemu inayobakia ndio inawafikia walengwa! wakati misaada ya Waislamu kwa wenzao hutumwa moja kwa moja kwa walengwa na mifano tumeona huko Pakistani na vita vya msalaba huko Bosnia herzegivina miaka ya 90!

Ushahidi huu hapa soma: Pakistan floods: Saudi Arabia pledges $100m | World news | The Guardian

Watu wengi wamefunikwa wasijue unabii wa siku za mwisho, hizo akina mahakama za Kadhi na mengineyo yanayotokea Duniani wala siyo ya Mungu tunaedaikuwa tunamwabudu. Na katika Dunia hii mwanadamu hujitahidi kuweka usawa au haki lakini hawezi kuipata haki ambayo Mungu angetupatia yeye, kiufupi Hakuna siku kutakuwa na haki chini ya jua. Waislam na Wakristo wengi kama ilivyohulka ya mwanadamu wanafikiri ya kuwa Mungu yupo nao kwenye mambo ya Ugaidi, Irak, n.k. Mungu anatuhitaji tufanye vitu vingine kabisa. Wanaodhani kuwa wanaweza kuzuia Unabii usitimie wamejidanganya na ole wao watimizao unabii.

Wengi hujidai kuwa wanamjua Mungu hasa unapogusa ishu ya dini yake hata kama ni mfanya dhambi mkubwa e.g mlevi, mzinzi n.k hupinga au kushabikia kwa nguvu hata kumzidi mcha Mungu mzuri.

Serikali ibaki na msimamo wa kutokua na dini. Waislam waanzishe kadhi yao at own cost. Serikali iweke kipengele cha kukubali maamuzi ya kadhi kama pande zote za kesi zilikubali kuhukumiwa chini ya sheria hio.
Baadhi ya Waislam mnashabikia hili kwa upeo mdogo mlionao msijue wakristo wanaweza tumia nyufa hio hio kujitengenezea mazingira ambayo mtabaki midomo wazi. Elimu kitu kizuri sana. Sasa kama waislam tungekua werevu si hio michafuko ndani ya nchi za kiislam tungei abolish au nasisi kuleta mitafaruko kama hio huko western nations?
 
Mbona kodi hizo hizo zinafadhili shule na hospitali za kanisa ambazo waislamu hawasomi? Na wao je wakisema hela zao tutafika wapi ?.

Fanya utafiti ndugu yangu kabla ya kujadili kitu usichokijua.

Angalie usije kuwa umekalia kitu chenye ncha kali hapo ulipo ndo maana unaandika vitu kama hivyo.

>Sadaka zinazopatikana katika makanisa haya ni KUBWA MNO so they can make & build kile wanachotaka.

>Misaada kutoka katika makao makuu ya makanisa haya eg. RC-Roma, italy.FGBFC-USA. Anglican- USA nk ni mikubwa mno.

Japo toa ushahidi mmoja tu kuthibitisha ni taasisi gani iliyo fadhiliwa na selikali na sio kuropoka.

>Tazama idadi ya waislam katika vyuo vikuu vilivyo chini ya dini kinzani... alafu tazama idadi ya wakristo katika Chuo kikuu cha kiislam (utapima ubaguzi wenu)
 
...Mahakama ya kadhi ni ndoto....Kama waislamu wanadhani wakristo ni wapumbavu sasa watakiona cha mtema kuni....tutachinjana hapa kama kuku mpaka mtakana hizi imani za waarabu. shwain......
 
Dhubutu, unalishishwa sumu bure na maaskofu, mahakama ya kadhi ni lazima..
 
Hakuna cha PERIOD ,kama mahakama ya kadhi inatakiwa kwa hamu sana ,anzisheni na isiwe mzigo wa serikali...KOMA!!!

so km south Afrika wameruhusu ushoga inamaana nasisi tuuhurusu?kumbuka kila nchi inautaratibuwake. Pia umetudanganya juu ya idadi ya waislam nenda kwny ensyclopidia utajua.
 
Mbona kodi hizo hizo zinafadhili shule na hospitali za kanisa ambazo waislamu hawasomi? Na wao je wakisema hela zao tutafika wapi ?.

Acha uongo shule za kikristo zina wanafunzi wengi tu waisram. Je nishule gan ya kikrito inayopewa rudhuku na haina waisram? Unazijua hospitari za bugando,peramih na zingine je haujui kwmb zinatoa msaada hata kwa wairam wanaojenga misikiti tu bira waumin nasasa yamebaki magofu tu. Waisram achen upumbav na wivu.
 
Back
Top Bottom