hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,460
- 27,062
Sheikh Kishki amewachana Waislamu hasa masheikh kwa unafiki wao
Anasema kazi yao ni kusubiri maskofu waseme jambo nao waingilie kupambana na maskofu. Kwamba masheikh ni wanafiki badala ya wao kuungana dhidi ya dhuluma wanayofanyiwa waislamu badala yake wanaingilia harakati za maskofu kutetea yale wanayoyaamini. Amesema Kishki.
Akitoa mfano kwamba maskofu wametoa amrisho juzi mwanasiasa aliyekamatwa aachiwe mara moja halafu akastajaabishwa na masheikh ubwabwa kupingana na kauli hiyo kwa madai maskofu ni wabaguzi mbona hawajawahi toa waraka juu ya masheikh waliofungwa?.
Kishki kasema kwani mlitaka maskofu wawasemee au wausemee uislamu? Au lini nanyi mlishatoa waraka juu ya masheikh hao? Kama tutajishindwa kujisemea basi kamwe hatufanikiwa tutabakia na unafiki na malalamiko dhidi ya wengine.
Naungana na Kishki hapa, maana dunia nzima ni kama Waislamu wana tabia moja. Wanatafuta huruma, hasa lawama zao wakiziweka kwa Wakristo. Wanalalamika wanaonewa hivyo wanataka dunia isikie kilio chao.
Sasa dunia ni nani? Wakiwa katika nchi za magharibi wanadai haki zao za dini zinakanyagwa na wakilalamikia serikali hizo hizo ambazo wakazi wengi ni wakristo. Lakini kamwe huwezi sikia wakristo wanalamika katika nchi mbalimbali zikiwemo za kislamu kwamba wanaonewa, maana wao wamejifunza kujipambania. Hata suala la Gaza wakemeaji wakubwa duniani sio waislamu bali ni raia wa magharibi hadi wakiandamana.
Endeleeni na mpunga wa maulid na hitima huku mkilalamika, enyi masheikh ubwabwa in the name of Kishki.