Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,276 May 21, 2018 #41 Tusubiri yatayojiri baada ya utambulisho huo
Bukwabi JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 3,352 Reaction score 1,155 May 21, 2018 #42 Mzee wa neema za Allah
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,570 Reaction score 16,358 May 21, 2018 #43 Chinsali said: Sijui kwann wanamuita sheik kipozeo ,ila yuko vizuri ni mkweli. Click to expand... Alishasema sababu ya kuitwa "kipozeo" ni zile mada zake au mawaidha yake ambayo watu wakisikiliza nafsi zao zinapoozeka! Hence the name "kipozeo"
Chinsali said: Sijui kwann wanamuita sheik kipozeo ,ila yuko vizuri ni mkweli. Click to expand... Alishasema sababu ya kuitwa "kipozeo" ni zile mada zake au mawaidha yake ambayo watu wakisikiliza nafsi zao zinapoozeka! Hence the name "kipozeo"
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,342 Reaction score 12,066 May 21, 2018 #44 Anasema "kufia kwenye mzigo wa mtu ndo balaa kubwa sheikh"
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,943 May 21, 2018 #45 Shark said: Sio Nabii Tito? Click to expand... Hahah Nabii Tito wampe usiku baada ya watoto kulala.
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,282 Reaction score 7,222 May 21, 2018 #46 Huyu shekh kipoozeo anajua kufikisha ujumbe vizuri bila kumhofisha mtu
Hum B JF-Expert Member Joined Sep 17, 2014 Posts 1,071 Reaction score 1,551 May 22, 2018 #47 Mzee wa neema za allah