Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Unashangaa nini kuteua kanda ya ziwa?
Anateua anaowaani unafikili kuongoza nchi ni kuweka yeyote eeh kisa msomi tehe
 
Ninachojua magu hana ubaguzi wa dini, chama wala kabila ndo maana wote tunaisoma....
 
Hilo gazeti kuna mtu nyuma yake Sema wameamua kumweka huyo shekh Kama geresha tu.
Na naona hiyo Habari walitaka kuiandika bila Hata kumweka shekh Sema naona wakaona Kama watafungiwa....!!
 
Sensa ndio ingetoa majibu ya nani ni wengi.Lakini kwa kujua watu wengine wataumbuka wakapiga marufuku dodoso la dini.
Rais asione ni kitu cha kawaida ajaribu kubalance.
 
We
Acha upimbi ww kwan serkali ndo imetoa pesa
Watu wana discus usawa nafas za kaz ww unakurupuka sijui umekula maharage ya wap
We punguani kumbe umesema syo hisani kujengewa msikitini dar na Dodoma sasa usawa uko wapi kama waislamu wanajengewa wakristu hawajengewi,wew ndo ulisema sasa unageuka basi we punguani
 
Hilo gazeti kuna mtu nyuma yake Sema wameamua kumweka huyo shekh Kama geresha tu.
Na naona hiyo Habari walitaka kuiandika bila Hata kumweka shekh Sema naona wakaona Kama watafungiwa....!!

Hakuna umuhimu wa kutafuta nani yuko nyuma ya habari hii. Kitu muhimu ni kujiuliza kama hayo yaliyosemwa ni ya kweli au la.
 
Mtu mwenye akili timamu kabisa hawezi kuzungumzia UDINI leo hii, bali atazungumzia maendeleo ya nchi.
 
UDINI KWENYE ASASI ZA KISERIKALI TANGANYIKA NI SARATANI ILIYOHATUA ZA MWISHO, NDIO MAANA MIAKA ZAID YA HAMSINI BAADA YA UHURU MAENDELEO NI NDOTO YA MCHANA, UBINAFSI UNALETA RUSHWA NA UOZO MWENGINE WOTE INAODODESHA MAENDELEO,
KENYA WENZETU JIRANI HAPO WALILIKWEPA WAMETOBOA.
 
Ukweli ni kuwa wamechaguliwa vipanga sasa kama mujahidina hamkupata mjue Vila...

Hakuna ukweli kuwa Tanzania Wakristo wamesoma kuliko Waislam. Uteuzi wa rais hauna uwiano wa jamii katika taifa hili kwahiyo Waislam wana kila haki ya kuhoji tangu idadi ya Wakristo na Waislam ni karibu 50/50.
 
MUDA WA KULEMBA UMEKWISHA WAPIGA PILAU , HAKI HAOMBWI NYIE MASHEHE UBWABWA, HAKI HUCHUKULIWA HATA KWA NGUVU, ACHENI KULALAMA JIPANGENI KUCHUKUA HATUA, HESHIMA HAILETWI KWA KULIA LIA BALI KWA KUPAMBANA.
 
Ndiyo maana kumbe mtu fulani yuko mbele kuwapa masheikh pesa kwenye briefcase, kumbe ni kuzuga, guilty consciousness inamtafuna kwa alichokifanya!
 
We

We punguani kumbe umesema syo hisani kujengewa msikitini dar na Dodoma sasa usawa uko wapi kama waislamu wanajengewa wakristu hawajengewi,wew ndo ulisema sasa unageuka basi we punguani
Pimbi nan kat yngu mm na ww,serikali haijengi msikiti,mfalme wa moroco ndo anajenga
Ofisi wanajenga GSM
umeelewa kilaza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom