Sheikh Katimba: Makonda achunguzwe

Na vyeti vyake pia vihakikiwe.watu wametumbuliwa kisa vyeti feki.yeye mbona hajitokezi kujisafisha..Ndalichako nayeye hizi sauti hazisikii??
Yule jamaa ukimsikiliza utajua tu kuwa anaelimu ya kutiliwa shaka. siyo ya kusoma hasa na kufaulu. Shida ya nchi hii hatua zinachukuliwa haraka ikiwa ni kiongozi wa uponzani. Kuna mtu walikuwa wahoji udokta wake hata haijulikani waliokuwa wanahoji wako wapi
 
Jadili hoja usijadili mtu.
 
 
Ukweli unajitenga na unafiki. Haipendezi kwa hii serikali kuwashikilia watu bia sababu. Hivi wangekuwa viongozi wa dini nyingine hili lingewezekana? Tuache unafiki ifike mahala ionekana kila mtu anazo haki zake!
sawa kabisa mkuu wangu
 
HII NDO ILE JUMUIA YA SH.PONDA HATUWASHANGAI KUPINGA VITA DHIDI YA UNGA. WAO KAMA CDM VILE KILA JAMBO LA SERIKALI NI BAYA .
Sijui nani kapotosha hapa....bandiko linatetea vita ya madawa ila kusiwe na siasa ndani yake....
LuSilk unasema huwashangai kupinga vita dhidi ya unga...
Napata ukakasi kidogo kuelewa...
Nani kapotosha...???
 
Na huyo Katimba ni sheikh wa mzee white hair....
Tafuta record za ziara za white hair....hakosekani pembenI....
 
Heeh,!hv ni lini wameambiwa wapeleke ushahidi wakakataa,kwani ofisi yake si ni moja ya tuhuma,si wameshataja zawadi ya gari,na apartment aliyonunua si wameeleza ipo wapi,safari ya first class ulaya wakati mzee alikataza watumishi kusafiri safari za nje mpaka kwa kibali cha jengo jeupe,magari anayomiliki,!? Na kwani si anatakiwa yeye ndo aende mjengoni dodoma kwanza kwenye kamati yao kwanza,. Kwani wabunge walimtuhumu kwa mikataba au bank account ambazo unaweza ukasumbuka kuzipata,!? Hivyo si tangiable thing, vinaonekana kwa macho sa unataka ushahidi gani mwingine,!? Sa nyingine kabla ya kupost vitu kwa ajili ya uchama fikiria kwanza unachotaka kucoment, sio unakurupukakurupuka kimakondakta
 
Hawa masheikh wa siku hizi wanajiingiza kwny mambo ya siasa sana
 
Sheikh mkuu wa Dar kalegea na pesa za GSM
Halafu hawa washkaji kuna kashfa za mabati wanapitisha kimya kimya bandarini kutoka China lakini mijitu inakaa kimya tu,simply Makonda ni mshkaji wao.
Kwa mfano.
Wanaleta makontena 14 wanalipa manne (4)
Halafu kumi.... nawanukuu...wanajilipua.STUPID.
 
mbona huyu unasema daruwesh dume alikuwepo maulid ya msikiti wa manyema kariakoo nahuo msikiti maarufu wa ccm
 
Hawa watu ni wanafik sana aiseeeeeee.......
Juzikati walimpigia makofi na kumshangilia pale Paul alipo ahidi kuwajengea Nyumba ya sala......[emoji34] [emoji34].
Ebu ngoja niishie hapa, maana nimesha kasirika
sasa ukiwepa zawadi na konda ya kupanda daldala bure hutafurahia? na je huyo konda akijamba hutamwambia?? we ndo mnafiki sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…