Sheikh Katimba: Makonda achunguzwe

Sheikh Katimba: Makonda achunguzwe

- HAHAHAHAHAHAHA Katimba kutoka U deejay zamani mpaka kuwa Sheikh only in Tanzania hahahahaha, hiyo Taasisi yake ni ipi na BAKWATA ni ipi? hahahahahaha KAtimba wewe mshikaji maan wacha haya mambo utajichafua bure hayakuhusu wachana na wanasiasa watakufikisha pabaya, mambo ya siasa waachie wanasiasa huyawezi kama vipi rudia kupiga Disco kama zamani.

- Wamekubebesha zigo usilolijua hukusoma gazeti la Mtanzania kuwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Taifa inawataka Wabunge Msukuma na Selasini kupeleka ushahidi wa maneno yao juu ya mali za MAkonda mpaka leo hawajaenda, I mean kwa nini Viongozi wa Dini mnjiingiza kwenye mkenge hivi?

le Mutuz
We mzee inabidi ukalee wajukuu sasa hivi ...miaka 60+ yoote hiyo bado upo kwenye keyboard kuandika upuuzi!!
 
mimi huwa najiuliza ingetokea Makonda akamtaja Sheikh yoyote tu katika List yake kama alivyofanya kwa gwajima hali ingekuwaje?
 
Kama selasini sio mpelelezi aliropokaje kitu ambacho hajapeleleza .Ina maana ni mumbeya anayeokota habari vijiweni na kuzirusha bungeni.Nampongeza bunge kukataa kurusha LIVE nmaana tungekuwa tunalishwa umbeya wa akina SELASINI. no research (upelelezi) no right to speak.

Tuhuma zinatolewa na mtu yeyote kwa yeyote.
Wajibu wa kukanusha upo kwa aliyetuhumiwa na wajibu wa kupeleleza ni wa askari na maafisa upelelezi, wakijiridhisha wanawajibu wa kupeleka mahakamani.
 
Hahhah mwanafunzi wa kind gaten akikukutwa na iPhone 7 wakati mwalimu anatumia tecno lazima alelekwe ofisini kwa ajili ya uchunguzi
 
Huyo ni yule sheikh ambaye siku zote ana vita na BAKWATA.Wivu umemjaa kuona Makonda ni rafiki wa BAKWATA na mfalme wa moroco anawajengea msikiti mkubwa pale .Huyu ni sheikh wa UKAWA .mASHEIKH wao ni wale WA answar sunna wagomvi wa bakwata.

hapa chini ni meya wa jiji la dar es salaam akisalimiana na DARWESHI DUME kwenye maulidi aliyoalikwa ADA ESTATE mikocheni kama mgeni rasmi.Hao ndio masheikh wa UKAWA

1.JPG
BAKWATA ni branch ya Kanisa katoliki na CCM...
Ndio maana wamejaa wachumia tumbo huko Kama yule sheikh ubwabwa wa DSM.
Huko Kuna wanafiki na watu wa kujipendekeza, sincerely BAKWATA hakuna mtu mwenye akili nzuri mwenye uwezo wa kuja na hoja unbiased Kama ya huyo sheikh.
 
Hawa watu ni wanafik sana aiseeeeeee.......
Juzikati walimpigia makofi na kumshangilia pale Paul alipo ahidi kuwajengea Nyumba ya sala...... .
Ebu ngoja niishie hapa, maana nimesha kasirika
Mkuu sio hao,wale ni wale jamaa wa yule Sheikh Ubwabwa wa Mkoa
 
Sheikh hapo kaongea ukweli. Ila nimependa kauli yake "vita dhidi ya dawa za kulevya inaweza kwenda vibaya endapo itasimamiwa na wanasiasa"
 
Msukuma alisema viongozi wamepigwa ganzi na makonda,amna atakae thubutu kumchunguza.
 
- HAHAHAHAHAHAHA Katimba kutoka U deejay zamani mpaka kuwa Sheikh only in Tanzania hahahahaha, hiyo Taasisi yake ni ipi na BAKWATA ni ipi? hahahahahaha KAtimba wewe mshikaji maan wacha haya mambo utajichafua bure hayakuhusu wachana na wanasiasa watakufikisha pabaya, mambo ya siasa waachie wanasiasa huyawezi kama vipi rudia kupiga Disco kama zamani.

- Wamekubebesha zigo usilolijua hukusoma gazeti la Mtanzania kuwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Taifa inawataka Wabunge Msukuma na Selasini kupeleka ushahidi wa maneno yao juu ya mali za MAkonda mpaka leo hawajaenda, I mean kwa nini Viongozi wa Dini mnjiingiza kwenye mkenge hivi?

le Mutuz
Mbona una attack past ya mtu... Paulo kwenye kitabu cha wakristo alikua muuaji lakini mwisho wa siku akawa mtume.
Sembuse huyo DJ!?!?
Yeye katoa hoja attack hoja yake...
 
Hawana lolote hao kwanza waanzwe wao kuchunguzwa kuna mashehe mahabusu karibu miaka ninne sasa wanateseka bila sababu ya msingi wao wamechukua hatua gani kuhakikisha wanatoka zaidi porojo tu
 
Hawana lolote hao kwanza waanzwe wao kuchunguzwa kuna mashehe mahabusu karibu miaka ninne sasa wanateseka bila sababu ya msingi wao wamechukua hatua gani kuhakikisha wanatoka zaidi porojo tu
Tafadhali usichanganye mada!
 
Back
Top Bottom