Sheikh Katimba: Makonda achunguzwe

Huyo ni yule sheikh ambaye siku zote ana vita na BAKWATA.Wivu umemjaa kuona Makonda ni rafiki wa BAKWATA na mfalme wa moroco anawajengea msikiti mkubwa pale .Huyu ni sheikh wa UKAWA .mASHEIKH wao ni wale WA answar sunna wagomvi wa bakwata.

hapa chini ni meya wa jiji la dar es salaam akisalimiana na DARWESHI DUME kwenye maulidi aliyoalikwa ADA ESTATE mikocheni kama mgeni rasmi.Hao ndio masheikh wa UKAWA

1.JPG
You must be highly misinformed to associate this with your damb ass politics. Makonda si mfanyabiashara wala entrepreneur amepata wapi fortune? Mshahara na marupurupu yake inajulikana haiwezekani kujikusanyia fortune alitonayo. Mwl Nyerere alisema wazi kama unataka kuwa tajiri nenda kafanya biashara usitegemee utumie madaraka ujitajirishe. You hear that oldman? Mwisho ningepende nikuulize have you taken drugs today? Unautatizo la schizophrenia. Better go and see your doctor dumb ass
 
Mali zake wameambiwa waliotuhumu bungeni wapeleke ushahidi tume ya maadili wafuatilie wamekataa kupeleka.Wewe utasemaje zipo wakati waliotuhumu wamekataa kupeleka ushahidi kwenye vyombo husika wakati bungeni walidai ushahidi wanao.Huyu shehe uhakika kautoa wapi wakati waliotoa tuhuma hawana ushahidi wa kutoa?
 
Government inayowajibu kuchunguza hilo kwasababu inavyo vyombo vya uchunguzi na hilo ndiyo jukumu lake.

Wewe hushangai mh Mbowe alituhumiwa anajihusisha na illegal narcotics nani alipeleka ushahidi? Mbona polisi wamemchunguza?

Acha double standards. Selasini alikataa kupeleka ushahidi kwasababu yeye si mpelelezi apate nguvu yakuchunguza. Kelele zinazopigwa na wananchi serikali inabidi ifanyie kazi kama ilivyofanyia kazi maneno (sio ushahidi) kuwa Mbowe anajihusisha na illegal narcotics

Oldman go back to your senses.
 
Acha double standards. Selasini alikataa kupeleka ushahidi kwasababu yeye si mpelelezi apate nguvu yakuchunguza.

Kama selasini sio mpelelezi aliropokaje kitu ambacho hajapeleleza .Ina maana ni mumbeya anayeokota habari vijiweni na kuzirusha bungeni.Nampongeza bunge kukataa kurusha LIVE nmaana tungekuwa tunalishwa umbeya wa akina SELASINI. no research (upelelezi) no right to speak.
 
Hawa watu ni wanafik sana aiseeeeeee.......
Juzikati walimpigia makofi na kumshangilia pale Paul alipo ahidi kuwajengea Nyumba ya sala...... .
Ebu ngoja niishie hapa, maana nimesha kasirika
 
Kama selasini sio mpelelezi aliropokaje kitu ambacho hajapeleleza .Ina maana ni mumbeya anayeokota habari vijiweni na kuzirusha bungeni.Nampongeza bunge kukataa kurusha LIVE nmaana tungekuwa tunalishwa umbeya wa akina SELASINI. no research (upelelezi) no right to speak.
Ndugu ulipewa ubongo kufikiri not acting like a fool.

Nimekuukiza hapa mbona mh Mbowe amepelelezwa mwa habari za mtaani tu? Na tena hajakutwa na chochote?

Acha double standards, go back to your senses. Kama mnajua kutuhumu watu kwa njia zisizo halali basi msipate wazimu watu wanapoitaka serikali iwachunguze viongozi wake kwa kutumia mbinu hizo hizo mnazo tumia.

Point hapa ni hii. Serikali kama governing body ya kila kitu imchunguze Makonda kwa kutumia malalamiko yanayosemwa na wananchi. Kwani si ndiyo njia mlitumia kumpelekeza Mbowe?

Hii inaitwa jino kwa jino....you hear that oldman?
 
Huyo ni yule sheikh ambaye siku zote ana vita na BAKWATA.Wivu umemjaa kuona Makonda ni rafiki wa BAKWATA na mfalme wa moroco anawajengea msikiti mkubwa pale .Huyu ni sheikh wa UKAWA .mASHEIKH wao ni wale WA answar sunna wagomvi wa bakwata.

hapa chini ni meya wa jiji la dar es salaam akisalimiana na DARWESHI DUME kwenye maulidi aliyoalikwa ADA ESTATE mikocheni kama mgeni rasmi.Hao ndio masheikh wa UKAWA

1.JPG
Nina uhakika wewe sio muislamu, ndio maana ume comment hivi, ungetafuta ushauri kwa waislamu hata huko bakuata huone wangekujibu nini.
 
Kama selasini sio mpelelezi aliropokaje kitu ambacho hajapeleleza .Ina maana ni mumbeya anayeokota habari vijiweni na kuzirusha bungeni.Nampongeza bunge kukataa kurusha LIVE nmaana tungekuwa tunalishwa umbeya wa akina SELASINI. no research (upelelezi) no right to speak.
Mapenzi yako kwa kondakta yamepitiliza! Kunani?!
 
HII NDO ILE JUMUIA YA SH.PONDA HATUWASHANGAI KUPINGA VITA DHIDI YA UNGA. WAO KAMA CDM VILE KILA JAMBO LA SERIKALI NI BAYA .
Usipotoshe, wamesema wanaunga mkono wasichotaka ni vita kuongozwa na wanasiasa wasio na weledi katika mambo hayo, na serikali iache double standard ya wabwiaji unga wengine kupelekwa Rehab wengine mahakamani! Umeelewa?
 
Sheikh Khatimba na Sheikh Ponda ni miongoni mwa wananzuoni wachache sana tuliobaki nao hapa nchini wenye uwezo wa kusimamia kile wanachokiamini.Ukiona kiongozi wako wa dini anaalikwa kwenye makongamano na press conference ili tu aje kutumia Vitabu vitukufu kuhalalisha upuuzi wa serikali,basi fahamu kiongozi huyo si wa kumwamini tena.

Hongera Sheikh Khatimba kwa kuusimamia Ukweli.
Unawajua wanazuoni wewe???..I doubt!!
 
Ni tuhuma. Ndiyo maana tuna sheria na taratibu. Ndiyo maana tuna vyombo vya mahakama ambavyo ndivyo vimewekwa kisheria kuthibitisha tuhuma. Mkuu wa mkoa is still innocent. Mnaweza kusema yote mnayoyasema huko mitaani, lakn he is not guilty until proven guilty. Ndiyo maana sisi wengine, hatukukubaliana na staili yake pia ya kuwatuhumu watu kwenye vyombo vya habari na kisha kuwaita polisi kwa mahojiano. Kama una tuhuma peleka kwenye vyombo husika ili vifanye uchunguzi na vikithibitisha kwamba tuhuma hizo zina uzito, basi wanafikisha mahakamani. Let's use our common sense.
 
Back
Top Bottom