Sheikh Jongo alia bungeni

Sheikh Jongo alia bungeni

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,911
Hana point ya maana anajifanya kulia bungeni kisa eti waasisi wametukanwa.Babu zao walishirikiana na hao waasisi.Hawa ndiyo masheikh wa Bakwata usanii mtupu.
 
Mkuu kwani hujui kama BAKWATA ni tawi la CCM? Hawana lolote zaidi ya usanii! kama hivyo jitu zima linalia kama bwabwa,linalia kwa utamu wa posho linazugia ujinga wake.
 
hata mm nimeshangaa labla hajui maana ya matusi huyu MFUGA MAJINI kwani ukimrekebisha mtu ndo umemtukana?
 
jambo hili si zuri, ni tusi kubwa sana kwa mzee anaefanana na baba yetu, ingawa hakuwa na sababu yakulia,alitaka auze stori kesho ktk magazeti
 
Kwa matusi yenu dhidi ya waislam mnaonesha jinsi gani mlivyo wadini. Ilikua busara kumsema kutoka na mawazo yake na sio uislam.
 
nani kasema kuwa shekh jongo anawakilisha waislamu...ni mchumia tumbo tu!
 
Kwa matusi yenu dhidi ya waislam mnaonesha jinsi gani mlivyo wadini. Ilikua busara kumsema kutoka na mawazo yake na sio uislam.

Uislam gani unaoutetea wa Bakwata?Uislam wa kinafiki hatuutaki.Huyu sheikh angelia waislam kutokua na chuo kikuu walichojenga au hospital ya rufaa au shule za sekondari za bakwata kufanya vibaya ktk mitihani ya taifa ningemuona wa maana.
 
hata mm nimeshangaa labla hajui maana ya matusi huyu MFUGA MAJINI kwani ukimrekebisha mtu ndo umemtukana?

Mbona na wewe unatukana? tumia lugha za kistaarabu, kukashifu dini za wengine ni kinyume na tamaduni zetu watanzania.
 
Mkuu kwani hujui kama BAKWATA ni tawi la CCM? Hawana lolote zaidi ya usanii! kama hivyo jitu zima linalia kama bwabwa,linalia kwa utamu wa posho linazugia ujinga wake.

Wanaoujua uislam jana kwenye kikao msikiti wa mtambani wamesema Lissu amesema haki tupu,hatuwezi kufuata mawazo ya watu waliokufa hata kama ni mabovu, nyerere alikua binadamu na sifa kuu ya binadamu ni kukosea
 
jambo hili si zuri, ni tusi kubwa sana kwa mzee anaefanana na baba yetu, ingawa hakuwa na sababu yakulia,alitaka auze stori kesho ktk magazeti

Acha unafiki wewe mtu mnafiki lazima apewe dozi,yeye baba yetu ANATUSALITI tumfanyeje!
 
Hana point ya maana anajifanya kulia bungeni kisa eti waasisi wametukanwa.Babu zao walishirikiana na hao waasisi.Hawa ndiyo masheikh wa Bakwata usanii mtupu.

Akili yake mbovu km hiyo taasisi yake isiyojitambua!shenz gete!
 
hata mm nimeshangaa labla hajui maana ya matusi huyu MFUGA MAJINI kwani ukimrekebisha mtu ndo umemtukana?

Wewe utakuwa mfuasi wa Desmond tutu, bora mfuga MAJINI kuliko anaeowa mbwa na anaewaozesha, nguruwe wewe
 
Mbona na wewe unatukana? tumia lugha za kistaarabu, kukashifu dini za wengine ni kinyume na tamaduni zetu watanzania.

Watu mnaongelea tamaduni kama vile unazijuwa
Mambo ya kukariri ni mabaya sana
Taja tamaduni unazozijuwa wewe ni zipi?
 
jambo hili si zuri, ni tusi kubwa sana kwa mzee anaefanana na baba yetu, ingawa hakuwa na sababu yakulia,alitaka auze stori kesho ktk magazeti

Kwa tafsiri yako ubwabwa ni tusi? basi wewe utakuwa bwabwa la CCM! kwi kwi kwi! (mchele supa)
 
Jamani mi sikuangalia naomba mwenye clip yake anitumie
 
Back
Top Bottom