Sheikh Jongo alia bungeni

Sheikh Jongo alia bungeni

Subhana Allah!!!!analia kisa na mkasa waasisi wametukwanwa???mtume wake ametukanwa mara ngapi??na je amewahi lia???Allah(SW) ametukanwa mara ngapi???amewahi lia???amepigigwa risasi shekh Ponda amewahi li???amefungwa Shekh Mselem Ally ameliaaa????angelia basi hata ilivyozama MV Spice kama kweli ana huruma na imani kiasi hiko....Amuogope Mungu ataumbuka bure
 
...iyo staili ya kulialia alianzisha pinda,so sishangai hatakidogo,cha msingi wangemtandika makofi wakati anatoka bungeni ili auze sura vizuri...
 
Subhana Allah!!!!analia kisa na mkasa waasisi wametukwanwa???mtume wake ametukanwa mara ngapi??na je amewahi lia???Allah(SW) ametukanwa mara ngapi???amewahi lia???amepigigwa risasi shekh Ponda amewahi li???amefungwa Shekh Mselem Ally ameliaaa????angelia basi hata ilivyozama MV Spice kama kweli ana huruma na imani kiasi hiko....Amuogope Mungu ataumbuka bure

Ndugu yangu we acha tu huuu ni unafiki wa hali ya juu unamlilia nyerere !!!!!kwakweli roho imeniuma mpaka basi
 
Subhana Allah!!!!analia kisa na mkasa waasisi wametukwanwa???mtume wake ametukanwa mara ngapi??na je amewahi lia???Allah(SW) ametukanwa mara ngapi???amewahi lia???amepigigwa risasi shekh Ponda amewahi li???amefungwa Shekh Mselem Ally ameliaaa????angelia basi hata ilivyozama MV Spice kama kweli ana huruma na imani kiasi hiko....Amuogope Mungu ataumbuka bure

Hao ndio bakwata chama cha Nyerere laanatullah, wamekuwa kama majuha hawajitambui
 
BAKWATA sio WAISLAM wala hawamuwakilishi muislam yoyote bali wapo pale kwa maslahi ya KANISA.
 
Subhana Allah!!!!analia kisa na mkasa waasisi wametukwanwa???mtume wake ametukanwa mara ngapi??na je amewahi lia???Allah(SW) ametukanwa mara ngapi???amewahi lia???amepigigwa risasi shekh Ponda amewahi li???amefungwa Shekh Mselem Ally ameliaaa????angelia basi hata ilivyozama MV Spice kama kweli ana huruma na imani kiasi hiko....Amuogope Mungu ataumbuka bure

Sheikh Idriss,
Mashekh wa BAKWATA hakika wana mambo sana.

Kuna kitu kinaitwa ''theatrics,'' masheikh wa BAKWATA ni mabingwa na wana
medali za dhahabu.

Sheikh Mkuu wa BAKWATA Shaaban Simba aliwahi kutoa medali kumpa
Reginald Mengi kwa utumishi wake uliotukuka kwa Waislam.

Hakika umma ulipigwa na butwaa.
Umma ukajiuliza.

Sheikh Shaaban Simba hajapata kumsikia Sheikh Hassan bin Amir bingwa
wa tafsir ya Qur'an na aliyeandika vitabu lukuki mpaka akapewa shahada ya
heshima na Al Azhar, Cairo mwaka 1964?

Ukiachia sifa yake ya kupigania uhuru wa Tanganyika nk. nk.

Sheikh Shaaban Simba hajamsikia Sheikh Mohamed Ayub aliyesomesha
dini maisha yake yote na ana wanafunzi Afrika ya Mashariki nzima na hao
wote wanafunzi wake wana vyuo wanaisomesha Qur'an?

Sheikh Shaaban Simba hawa wote hakuwaona ila kamuona Reginald Mengi?

Sasa hili la kulia Sheikh Jongo ni mlolongo tu wa hizo ''theatrics'' za masheikh
wa BAKWATA.

Sheikh Shaaban Simba hivi kweli hajapatapo hata siku moja kumsikia Sheikh
Aboud Maalim
aliyejenga misikiti chungu mzima kwa kuwahamasisha Waislam
matajiri na masikini wachangie ujenzi kila mtu kwa uwezo wake alojaaliwa na
Allah?

Sheikh Aboud Maalim akaweza kujenga Msikiti wa Manyema, Msikiti wa Ngazija,
Msikiti wa Maamur, Msikiti wa Mwinjuma Mwinyikambi na mingine tusiyoijua.

Achilia mbali kuanzisha scholarship kwa vijana wa Kiislam kusoma Udaktari na
Uhandisi Uturuki chini ya taasisi aliyoanzisha, Tanzania Muslim Trust Fund.

Kwa wasiowajua masheikh wa BAKWATA hakika wanapata tabu.
Kwa wanowajua masheikh wa BAKWATA hawashangazwi.

Wakati mwingine hakika huwa vioja na vichekesho khasa.

Kuna msemo wa Kiarabu unaosema,''Sababu ikijulikana ajabu huondoka.''
Naamini Sheikh Jongo anaujua msemo huu.
 
Julius Nyerere(laantullah). Sheikh Shaban Simba(laanatullah), Sheikh Jongo(Laanatullah), BAKWATA(LAANATULLAH).
 
Sheikh Idriss,
Mashekh wa BAKWATA hakika wana mambo sana.

Kuna kitu kinaitwa ''theatrics,'' masheikh wa BAKWATA ni mabingwa na wana
medali za dhahabu.

Sheikh Mkuu wa BAKWATA Shaaban Simba aliwahi kutoa medali kumpa
Reginald Mengi kwa utumishi wake uliotukuka kwa Waislam.

Hakika umma ulipigwa na butwaa.
Umma ukajiuliza.

Sheikh Shaaban Simba hajapata kumsikia Sheikh Hassan bin Amir bingwa
wa tafsir ya Qur'an na aliyeandika vitabu lukuki mpaka akapewa shahada ya
heshima na Al Azhar, Cairo mwaka 1964?

Ukiachia sifa yake ya kupigania uhuru wa Tanganyika nk. nk.

Sheikh Shaaban Simba hajamsikia Sheikh Mohamed Ayub aliyesomesha
dini maisha yake yote na ana wanafunzi Afrika ya Mashariki nzima na hao
wote wanafunzi wake wana vyuo wanaisomesha Qur'an?

Sheikh Shaaban Simba hawa wote hakuwaona ila kamuona Reginald Mengi?

Sasa hili la kulia Sheikh Jongo ni mlolongo tu wa hizo ''theatrics'' za masheikh
wa BAKWATA.

Sheikh Shaaban Simba hivi kweli hajapatapo hata siku moja kumsikia Sheikh
Aboud Maalim
aliyejenga misikiti chungu mzima kwa kuwahamasisha Waislam
matajiri na masikini wachangie ujenzi kila mtu kwa uwezo wake alojaaliwa na
Allah?

Sheikh Aboud Maalim akaweza kujenga Msikiti wa Manyema, Msikiti wa Ngazija,
Msikiti wa Maamur, Msikiti wa Mwinjuma Mwinyikambi na mingine tusiyoijua.

Achilia mbali kuanzisha scholarship kwa vijana wa Kiislam kusoma Udaktari na
Uhandisi Uturuki chini ya taasisi aliyoanzisha, Tanzania Muslim Trust Fund.

Kwa wasiowajua masheikh wa BAKWATA hakika wanapata tabu.
Kwa wanowajua masheikh wa BAKWATA hawashangazwi.

Wakti mwingine hakika huwa vioja na vichekesho khasa.
mkuu kidogo unaelewwka.....safi yaani umetoa mifano na ushahidi bila jazba wala chuki...nmekusoma
 
Nilifikiri analilia katiba mpya kumbe anamlilia mfu..! Biblia inasema mfu hajui neno lolote....... Waacheni wafu wakawazike wafu wenzao...!
 
tatizo ni shule hapa,hata kama ni kiongozi wa dini shule ni muhimu sana.mfano ni mapadre wa kanisa katoliki miaka 18 anasomea upadre huyu uelewa wake ni mkubwa sana,pia unapoongoza jamii kubwa kama ile lazima elimu iwepo..maskini shehe wangu fikiri kabla ya kutenda na tatizo mnachukuliwa mtaani kisa wewe ni mwumini.
 
hata kama wamefanya makosa....na nikweli.kabisa wamefanya makosa haifai katika kuwakufurisha au kuwalaan....ni.makosa.....wanatakiwa kupewa nasaha...na sio kutumia.maneno ya laanatulah.....bado wao ni waislam......nisieleweke.vibaya....hao viongoz wa bakwata wanamakosa...ila sio kuwakufurisha na kuwalaa.
 
Hivi hawa wanaolia Bungeni huwa wanawaelezaje watoto na wazazi wao? Je huendelea kulia wakati wakiwaeleza ndugu na jamaa zao kilichowafanya walie bungeni?

Je hawa Viongozi wa dini huwa wanalia ktk nyumba za ibada ili kuoneshwa kuwa waumini wao wamekengeuka?

Naona huku kulia lia ni unafiki na usanii tu. Ingekuwa busara kama wangetoa maelezo yanayoonesha kile wanachoamini. Kulia hakuahirii kusikitishwa. Watu pia hutoa machozi ya furaha.

Nawashauri hawa walioanzisha huu utaratibu wa kulia waunde kikundi cha kulia misibani.

Sipendi kuona watu wakilia bungeni.
 
Hana point ya maana anajifanya kulia bungeni kisa eti waasisi wametukanwa.Babu zao walishirikiana na hao waasisi.Hawa ndiyo masheikh wa Bakwata usanii mtupu.

Nyerere alipinga kitendo cha viongozi kujilimbikizia mali. Hajawahi kuona kinachoendelea kwenye taifa hili? Mbona hakuwahi kulia pale aliyopigania mwalimu yalipopindishwa? Rushwa si zaidi ya matusi kwa Mwalimu? Mbona hakuwahi kulia?

UNAFIKI!
 
Mkuu kwani hujui kama BAKWATA ni tawi la CCM? Hawana lolote zaidi ya usanii! kama hivyo jitu zima linalia kama bwabwa,linalia kwa utamu wa posho linazugia ujinga wake.
WTFisThisShit.png
 
Back
Top Bottom