Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,413
- 22,102
Ha ha haaaaaaaa, pole mkuu.Ndugu yangu we acha tu huuu ni unafiki wa hali ya juu unamlilia nyerere !!!!!kwakweli roho imeniuma mpaka basi
Mi sijaona hio makitu kama vp wekeni clip.
Ha ha haaaaaaaa, pole mkuu.Ndugu yangu we acha tu huuu ni unafiki wa hali ya juu unamlilia nyerere !!!!!kwakweli roho imeniuma mpaka basi
Hana point ya maana anajifanya kulia bungeni kisa eti waasisi wametukanwa.Babu zao walishirikiana na hao waasisi.Hawa ndiyo masheikh wa Bakwata usanii mtupu.
Tumeambiwa BMK leo limepatwa na MSIBA! Mimi nafikiri huyu Sheikh Jongo amelia kwasababu mjumbe mwenzao kutoka kundi la 201 amefiwa na baba yake mzazi. Sitaki kuamini kabisa Sheikh Jongo amelia kwasababu nyingine kabisa zaidi ya hiyo niliyoitaja. Vinginevyo bungeni kutakuwa na toddlers.
Matusi unayajua wewe karagosi la mafisadi??