Sheikh Hamisi Mataka: Nilivyokoseshwa elimu ya Sekondari

Lengo ni kueleza umma hakuchaguliwa kwa sababu ya uislam?? Vipi kipindi hicho hakuna wanafunz wa kiislam walienda secondary, baraza lilikuwa linajua kuwa yeye ana madrassa?
Kingunge Ngombale Mwiru: Nilitofautiana na kupata matatizo na viongozi wa kanisa Katoliki, Nikaacha kwenda Kanisani

Kingunge ngobare mwiru nilitaka kufukuzwa shule sababu ya imani yangu sikuamini ukristo na nilikataa,nilikuwa tayari nimeshasimamishwa shule lkn akili yangu ilimshawishi mkuu wa shule na akaniombea nibaki
 
Mohamed Said kwa hiyo kipindi hicho hakukuwa Na Waislam wanaoenda sekondari Na vyuo, kisa ni dini yao?
Naomba ufafanuzi
Kingunge Ngombale Mwiru: Nilitofautiana na kupata matatizo na viongozi wa kanisa Katoliki, Nikaacha kwenda Kanisani

Kingunge ngobare mwiru nilitaka kufukuzwa shule sababu ya imani yangu ya atheism nilikuwa tayari nimeshasimamishwa masomo lkn nilikuwa napata maksi za juu kuliko wanafunzi wengine na mkuu wa shule aliniombea niendele hakutaka kunipoteza ukizingatia kwa muda ule wanafunzi wachache walikuwepo wenye uwezo.
 
Unachotala kutuambia hapa ni nini?
UDINI (kuonewa uislamu) kwenye kuchaguliwa kuingia sekondari toka la saba? Maana huko kwingine pamoja na kuwa mwalimu wa DINI na kuwa muislamu bado uliendelea..!!!
Mimi nilivyoelewa ni kwamba hakuna kitu kikubwa kama dhamira. Sheikh HM alitaka sana kusoma lakini hali halisi haikumruhusu kufikia azma yake kutokana na kutochaguliwa kwenda Form 1.
Hali hii haikumvunja moyo hata kidogo na ninahisi ilimuongezea dhamira na hivi leo yeye ni msomi mkubwa wa elimu ya dunia na ya dini na bado hajaridhika kwenye hili.
Kwangu mimi ni somo kubwa sana . Kwenye dhamira ya dhati hakuna wa kuzuia.
Kwa vizazi yetu vya sasa ambao ni hodari wa kulalamika, hili ni somo tosha.
 
Mzee kwa taaluma nakukubali sana ila ulalamishi tuu.Sasa kama msomi kama wewe hivi sasa wengine itakuaje?Anyway nitaingia kwenye hiyo link napenda kusoma.
Kingunge Ngombale Mwiru: Nilitofautiana na kupata matatizo na viongozi wa kanisa Katoliki, Nikaacha kwenda Kanisani

Ingia na link hii Kingunge ngobare mwiru anasimulia alitaka kufukuzwa shule na kusimamishwa masomo sabb ya imani yake ya atheism lkn alikuwa na pass mark kubwa kuliko wanafunzi wengine
.mkuu wa shule akamuombea abaki hakutaka kupoteza kichwa
 
Unajua haya mambo ukweli ni kwamba islam mliwekeza sana kwenye madrassa na hii elimu ya kawaida mliichukulia kama ya wakristo, nimeishi sana lindi na mtwara naelewa kitu nachozungumza kilwa kisiwani nilikuta shule kubwa ya madrassa wanafunz wanaenda asubuhi wanarud jioni huo mda wa kwenda kusoma physics wanaupata wapi? Kwa hiyo wazee wenu aliinyapapaa elimu dunia na wamisionary waliwekeza kwenye elimu dunia, na hii dhana hadi leo ipo ndio mikoa waliokaa sana waarabu kiwango chao cha elimu ni kidogo
Kwa Dar hali ilikuwa tofauti kwani kipindi kile wenyeji wa dar ndiyo walikuwa wengi kuliko wageni na vile vile dar ilikuwana shule nyingi kuliko mikoa yote[ sijui Moshi na Bukoba]. Hivyo kwa jinsi alivyokuwa anafanya vizuri darasani halafu mwisho wa siku asichaguliwe -[Hasa ikizingatiwa kuwa mwalimu wake alikwisha muonya kabla.]
Suala la kwenda chuoni kwa enzi zile ni kwamba karibu watoto wote walikuwa wanasoma chuoni aidha asubuhi au jioni na mara nyingi wale watoto walikuwa wanasoma vyuoni walikuwa hodari sana darasani.
 
Mimi nilivyoelewa ni kwamba hakuna kitu kikubwa kama dhamira. Sheikh HM alitaka sana kusoma lakini hali halisi haikumruhusu kufikia azma yake kutokana na kutochaguliwa kwenda Form 1.
Hali hii haikumvunja moyo hata kidogo na ninahisi ilimuongezea dhamira na hivi leo yeye ni msomi mkubwa wa elimu ya dunia na ya dini na bado hajaridhika kwenye hili.
Kwangu mimi ni somo kubwa sana . Kwenye dhamira ya dhati hakuna wa kuzuia.
Kwa vizazi yetu vya sasa ambao ni hodari wa kulalamika, hili ni somo tosha.
Umeona the positive side of it... LAKINI KWA CONTENT YAKE ILIVYOKAA, ALITAKA KUTUONYESHA UDINI ULIVYOTAMALAKI.... Sasa sijui hakukuwa na waislamu wengine na wakristu waliokosa nafasi au waliopata nafasi..!!!
 
Astaghfirullah! Ulianza darasa la kwanza ukiwa na umri wa miaka 11 tena jijini Dar es Salaam! Nikiwa na umri wa miaka 11 nilikuwa niko darasa la 6 tena kijijini! Ngoja nikae kimya.
Astaghfirullah inaingiaje hapo
 
Umeona the positive side of it... LAKINI KWA CONTENT YAKE ILIVYOKAA, ALITAKA KUTUONYESHA UDINI ULIVYOTAMALAKI.... Sasa sijui hakukuwa na waislamu wengine na wakristu waliokosa nafasi au waliopata nafasi..!!!
Kwahiyo walipaswa wawe wangapi ili uwe udini? Maana naona unahoji kuhusu wengine waliofanyiwa kama yeye kama wapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom