Nakusifu kwa kuheshimu vitabu vitakatifu. Ni vizuri kuwaacha wanaovitumia wavitumie kwa imani zao. Huku ndiyo kuheshimiana. Sipendi sana kutumia neno"kuvumiliana." Mimi imani ya mtu hainikwazi, hata akiamini kwamba nyoka koboko ni mungu wake.KORAN IMEKUWA KIDUBWASHA!!!!! Hata kama siyo mwislam hukupaswa kusema hivyo na siyo ustaarabu ambao tumefunzwa hata kwenye biblia. Hivi unajiamini nini kwa kusema hivyo???? Adui mkubwa wa binadamu ni mdomo. Ndugu yangu hebu tafakuri kabla ya kuandika maneno ya kebehi kuhusu kitabu ambacho waumini wa kiislam ni kitukufu kwao kama vile wakristu na bibilia.
Subiri nikuripoti kwa mods,labda wawe wamelalaWe **** kama huna cha kuchangia pita kimya kimya sio sio unaleta ukuma
Nimemuambia ,wahuni wenzake wanakuja na mitusi.We mtoa post nakupa nasaha pia najihusia mwenyewe juu ya kuusoma uislamu, kuna tofauti kati ya Muislamu na Uislamu na usione kila sheikh au ustaadh ni wa kufuatwa, unavyoonekana hata huujui vzuri uislamu unawezaje kuandika Mtume Mohammed? Uislamu hauna huyu mtume bali kuna Mtume Muhammad, kuna Qur'an hakuna Koran, lugha ya kiarabu sio lugha ya mtaani au kisukuma, unapobadili heruf na maana hubadilika, nakushauri urud darasani ukasome na uyajue makundi ya uislamu na utambue kundi lililo sahihi sio kutetea uozo
Nime like
Kila mmoja anao ufahamu wake ,lakini si kila ufahamu ni sahihi.
Nimesema Allah subhaana ,sikusema mungu.
Nimesema Quran,sikusema kuran.
Nadhani hata mtoto wa darasa la Saba ananielewa mkuu.
Mchana mwema .
Wewe shehe Issa usijifanye ndiye unaifahamu Koran kuwapita waislam wote! Unapaswa kufahamu kuwa Shehe Hamza ni msomi aliyetukuka katika Koran! Kama una hoja ya kupinga mahubiri yake, pinga kwa hoja na vielelezo na siyo kutoa kashfa!
KORAN IMEKUWA KIDUBWASHA!!!!! Hata kama siyo mwislam hukupaswa kusema hivyo na siyo ustaarabu ambao tumefunzwa hata kwenye biblia. Hivi unajiamini nini kwa kusema hivyo???? Adui mkubwa wa binadamu ni mdomo. Ndugu yangu hebu tafakuri kabla ya kuandika maneno ya kebehi kuhusu kitabu ambacho waumini wa kiislam ni kitukufu kwao kama vile wakristu na bibilia.
Hajamtukana shekhe Muhammed Issa alikuwa anamtaka majinun hamza kama anaielewa vizuri Quruani inamkataza yeye kukubali mungu alizaa na yesu ni mungu na yesu ni mtoto wa mungu pia hakuna mungu baba mungu mwana na mungu roho mtakatifu Quruani inakataa hayo yoteNimevamia vipi?
Ulimsikia Mohammed Issa alibyokuwa anamrushia matusi Shehe Hamza kupitia radio iman?!
Kwa hiyo Allah ana tofauti gani na Mungu ?.Nadhani ni lugha tu inagongana.Huku kwetu Mungu tunamwita Ngai kwahiyo ikiandikwa Quran ya Kimaasai sehemu ya Allah wataandika Ngai.Ukienda kule pande za Mlima Kilimanjaro Mungu wanamwita Ruwa ingeandikwa Quran sehemu ya Allah wangeandika Ruwa.
Natumaini nimekusaidia vya kutosha.
Du uuuu!!!! Tupe tofaut zao mkuuAllah an Jehovah ni tofauti au Allah na Mungu wa Wakristo ni Tofauti sana. Soma Quran na Biblia utaona wana tabia tofauti kabisa.
Du uuuu!!!! Tupe tofaut zao mkuu
Allah an Jehovah ni tofauti au Allah na Mungu wa Wakristo ni Tofauti sana. Soma Quran na Biblia utaona wana tabia tofauti kabisa.
Kwani umelazimishwa kusoma au kuchangia? Nguruwe ww
Naweza kukubaliana na hoja yako kwamba Allah Waislamu ni tofauti na Mungu wa wakristo kabisa lakini bado haiondoi maana.Hata Yesu na Nabii Issa bin Maryam ni tofauti kabisa kwa maana ya matendo na hata uwezo.
KORAN IMEKUWA KIDUBWASHA!!!!! Hata kama siyo mwislam hukupaswa kusema hivyo na siyo ustaarabu ambao tumefunzwa hata kwenye biblia. Hivi unajiamini nini kwa kusema hivyo???? Adui mkubwa wa binadamu ni mdomo. Ndugu yangu hebu tafakuri kabla ya kuandika maneno ya kebehi kuhusu kitabu ambacho waumini wa kiislam ni kitukufu kwao kama vile wakristu na bibilia.
Hayo mambo hayajifungi kwa waislamu tu. Hata historia inakumbusha kuwa baada ya waingereza kujitoa kanisa la roma walikuwa wanawaita roman catholic kuwa ni 'heretics' na wengine wengi walinyongwana kuchinjwa. Miaka ya karibuni pia huko ireland wakristu kwa wakristu walikuwa wanachinjana vibaya sana kwa sababu wa irish wengi ni wakatolic hivyo kuleta mgogoro mkubwa. Mitifuano kwenye dini ni ibilisi tu na karibu dini zote hutokea.Adui wa waislamu ni waislamu wenyewe maana wao kuchalaruana ni kawaida huoni huko mashariki ya kati na huko Afrika kaskazini wao kwa wao wanauana!!!
Hayo mambo hayajifungi kwa waislamu tu. Hata historia inakumbusha kuwa baada ya waingereza kujitoa kanisa la roma walikuwa wanawaita roman catholic kuwa ni 'heretics' na wengine wengi walinyongwana kuchinjwa. Miaka ya karibuni pia huko ireland wakristu kwa wakristu walikuwa wanachinjana vibaya sana kwa sababu wa irish wengi ni wakatolic hivyo kuleta mgogoro mkubwa. Mitifuano kwenye dini ni ibilisi tu na karibu dini zote hutokea.