Hv nawe muislam..!!??
Koran ndio kidubwasha gani..!!??
Huyo hamza ndio nani..!!??
Quran ni kitabu cha Allah subhanah watawallah.Hv nawe muislam..!!??
Koran ndio kidubwasha gani..!!??
Huyo hamza ndio nani..!!??
Kama mungu basi sawa,muache na hiyo kuran yake hapana tatizo.Kuran kitabu cha mungu, ila siku nyengine uliza kwa busara unatukwaza sie waislamu!
Mleta uzi ndg IlejeKwa jazba kubwa umesikika ukimkashfu Shehe Hamza kwamba anawapotosha waislam!
Wewe shehe Issa usijifanye ndiye unaifahamu Koran kuwapita waislam wote! Unapaswa kufahamu kuwa Shehe Hamza ni msomi aliyetukuka katika Koran! Kama una hoja ya kupinga mahubiri yake, pinga kwa hoja na vielelezo na siyo kutoa kashfa!
Kumbuka wote tunajifunza kutokana na maandiko! Wewe Issa hukuwepo wakati wa Mtume Mohammed hivyo kama wengine wote na wewe unasoma maandiko tuliyoyakuta! Usilazimishe wote tuwe na uelewa sawa na wewe!
Mohamed Issa ndio nani,anaswalisha wapi,kamtukana hamza matusi yapi?Nimevamia vipi?
Ulimsikia Mohammed Issa alibyokuwa anamrushia matusi Shehe Hamza kupitia radio iman?!
Mohamed Issa ni mmoja wa viongozi wa madhehebu ya sunni!Moh
Mohamed Issa ndio nani,anaswalisha wapi,kamtukana hamza matusi yapi?
Hamza ndio nani,anaswalisha wapi,kaongea mini mpaka atukanwe na Mohamed Issa
Ukijibu hayo unaweza kueleweka kidogo
Shehe hamza ameritadi? No matusi yapi aliotoa Hugo msunni?Mohamed Issa ni mmoja wa viongozi wa madhehebu ya sunni!
Kamtukana Shehe Hamza kwa sababu alikwenda kuhubiri kanisani na kusifia utukufu wa Yesu Kristo!
KORAN IMEKUWA KIDUBWASHA!!!!! Hata kama siyo mwislam hukupaswa kusema hivyo na siyo ustaarabu ambao tumefunzwa hata kwenye biblia. Hivi unajiamini nini kwa kusema hivyo???? Adui mkubwa wa binadamu ni mdomo. Ndugu yangu hebu tafakuri kabla ya kuandika maneno ya kebehi kuhusu kitabu ambacho waumini wa kiislam ni kitukufu kwao kama vile wakristu na bibilia.Hv nawe muislam..!!??
Koran ndio kidubwasha gani..!!??
Huyo hamza ndio nani..!!??
Hatuna kidubwasha kinachoitwa kuran bali kuna Quran katika uislam,KORAN IMEKUWA KIDUBWASHA!!!!! Hata kama siyo mwislam hukupaswa kusema hivyo na siyo ustaarabu ambao tumefunzwa hata kwenye biblia. Hivi unajiamini nini kwa kusema hivyo???? Adui mkubwa wa binadamu ni mdomo. Ndugu yangu hebu tafakuri kabla ya kuandika maneno ya kebehi kuhusu kitabu ambacho waumini wa kiislam ni kitukufu kwao kama vile wakristu na bibilia.
Kwa jazba kubwa umesikika ukimkashfu Shehe Hamza kwamba anawapotosha waislam!
Wewe shehe Issa usijifanye ndiye unaifahamu Koran kuwapita waislam wote! Unapaswa kufahamu kuwa Shehe Hamza ni msomi aliyetukuka katika Koran! Kama una hoja ya kupinga mahubiri yake, pinga kwa hoja na vielelezo na siyo kutoa kashfa!
Kumbuka wote tunajifunza kutokana na maandiko! Wewe Issa hukuwepo wakati wa Mtume Mohammed hivyo kama wengine wote na wewe unasoma maandiko tuliyoyakuta! Usilazimishe wote tuwe na uelewa sawa na wewe!