Shehe Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Alhaj Shehe Tafiq Ibrahim Malilo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

Fafanua unamaanisha nini, maana walokole bana. Sijui wana tatizo gani? Kama kitu hakikuhusu tulia.. sio lazima ucoment
Nimsaidie kufafanua.

Yesu Kristo ndiye njia, mtu hafiki kwa Mungu bila kupitia kwake. Hivyo ni vema kufa katika imani Kristo, kuna faida katika ulimwengu wa roho.
 
Nimsaidie kufafanua.

Yesu Kristo ndiye njia, mtu hafiki kwa Mungu bila kupitia kwake. Hivyo ni vema kufa katika imani Kristo, kuna faida katika ulimwengu wa roho.
Kwa imani ya Dini ya Kikristo
 
Madai yako angemfuata Yesu(angekuwa mkristo) asingekufa?
Tushawazoe na chokochoko zenu hakuna jipya hapo.
Kufa angekufa ila angeenda Mbinguni kwa Baba. Sasa anaenda motoni mwa milele ambako shetani al lah atamrudishia yale mawe alompiga nayo kule makka.
 
Back
Top Bottom