Shehe akamatwa kwa kuiba Msikitini


Status
Not open for further replies.
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
139
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 139 160
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]Na Magdalena Mkwama,

MSHITAKIWA Mohamedi Shehe (20), mkazi wa Buguruni Malapa, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Buguruni kujibu mashitaka ya wizi wa amplifaya. Mshitakiwa amesomewa mashitaka na karani Edwin Wandawanda mbele ya Hakimu Adelf Sachore wa Mahakama hiyo.

Amedai kuwa, mshitakiwa aliingia msikitini na kuiba amplifaya ya mlalamikaji Swalehe Hassan ambaye ni Imamu wa Msikiti wa Vingunguti na huku mshitakiwa naye akiwa ni mtoto wa Imamu wa Msikiti wa Buguruni Madenge.

Mshitakiwa amekana mashitaka na kesi itatajwa tena Desemba 22, mwaka huu.

Habari imetoka DL[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,235,907
Members 474,863
Posts 29,240,042