She looks like one of the kids

She looks like one of the kids

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,003
Reaction score
37,908
Hii ni picha ya Sarah Jakes, binti wa T.D Jakes, akiwa na watoto wake wawili. She looks like one of the kids. Dada zetu wa kibongo acheni mishemsho ya n'gombe na kuku wa kizungu. Ebo!

581781_363661220447226_456753891_n.jpg
 
Kanaonekana hakajatulia hako katoto ka T.D. Jakes. Na huyo mjukuu wake wa kiume mtukutu na mjeuri. The last one is cute.
 
Ah wakati mpaka nyuzi zinafunguliwa jf kusifia wanawake wanene..

Wanaume wa kishapu, simiyu, shinyanga, geita na mwanza wamejaa wengi tu hapa JF so usishangae.
 
Kanaonekana hakajatulia hako katoto ka T.D. Jakes. Na huyo mjukuu wake wa kiume mtukutu na mjeuri. The last one is cute.

What is the basis of your argument ?
 
Heheh,wanaume wabongo wanavopenda mat**o...hhehe...looking young is good kw kweli
 
Back
Top Bottom