SHE is "single" and bored.....she needs a man in her life too......

yeye anatka kijana mtanashati mwenye uwezo wa kuhudumia familia..................asema ni kweli kamchezo amekafanya sana lakini sasa maejirekebisha kwa hiyo vijana wasimtupie kapu lake........lol.......................asema yeye hachagui kati ya mlokole au la......................wote sawa tu kwake....................tatizo juzijuzi nimemwona yuko pregnant....sasa sijui waht is happening now..........................nilishindwa kumwuuliza......................i thought that matter was too personal to her................................so I did not want to embarrass her........

Kwanini huyo kijana asimtafute mwenyewe? Uliona wapi mtu wa leo anatafutiwa mpenzi, isipokuwa India tu!
 
Hapo kwanye blue ni kweli kbs ,wanaume nao huwa wanaangalia huyu ni nimemgusia swala la sex tu mara moja tu keshanivulia nguo lazima atakujudge vibaya, cha msingi kama atafanikiwa kupata mtu ampe muda wa hata mwaka hivi bila kufanya naye sex, mie naaamini kama mtu kampenda kweli atamvumilia lakini kama ni walewale hit and run atamjua mapema tu!

na hili nimelisema tena
Wanaume japo tunaweza kusema ni umbeya ila wanaume tunaambiana sana
Yaani ile kusema yule mwanamke hakatai au yule mwanamke siku ya kwanza tuu anakuvulia ni story za kawaida na tunafanya hivyo kuonyana sometimes kwa sababu mmoja wetu asije akaingia kwenye kikaango kwa kumchagua kuwa mke
Ishafikia mtu anamtambulisha girl friend wake kwa marafiki watu wote wanainamisha vichwa chini maana unajikuta miongoni mwa wanaume walio pale au wote washalala na mwanamke mwenyewe
So akitambulishwa kila mtu kichwa chini kwa aibu
 
what?

Ungejua damu yangu ni vere old.
Hata usingesema.

Ila kama vipi, mpe anuani yangu.
Nina kiwanda cha vijana hapa home.

Kongosho unataka kumsukuma binti ya watu kwenye lindi jipya la chapuchapu.............
 
AshaDii........................ameshauri lakini kwa kuamsha udadisi tu.................be specific ungelikuwa ni wewe hapo ungelifanyaje?

Ningetafuta blind dates with same interest as mine through close friends and relatives i trust. Anything could work out from there probably..
 
yawezekana kuwa usemayo ni kweli sasa afanyaje aache kuwa anti-social naye ampate wandani wake wa milele.............she is really bored........

ajaribu kwenda out mara kwa mara na marafiki zake with time atapata mtu sahihi kwake.Ajitahidi kuwa mchangamfu
 
Ningetafuta blind dates with same interest as mine through close friends and relatives i trust. Anything could work out from there probably..

ninaafiki hizi busara za Amyner........deploying peer pressure is the last resort..................
 
inategemeana kama atakuwa mzuri kama ww ili huyo anaekutaka amkubali

tatizo hapa unachukulia ya kuwa kwa vile Smile avatar yake ni bomba basi naye ni bomba...............kama umechemsha je itakuwaje?
 
kwani kajipregnant mwenyewe.

Mamndenyi haya ya kujipeginate mwenyewe yanatoka wapi..........yeye she is looking for love na hayo mengineyo yatamkuta barabarani
 
ajaribu kwenda out mara kwa mara na marafiki zake with time atapata mtu sahihi kwake.Ajitahidi kuwa mchangamfu

haya yote kayajaribu lakini amekwama
 
Labda akacheki kwnza afya yke thn ndo arejee jf atujulishe mana'ke alkuwa foward mzur sana!

umejuaje kuwa hata kama kaguswa.....kufukuziwa kwa birauli ya harakaharaka haimaanishi ya kuwa kesha pachikwa mabao............au unamaanisha yeye ni golikipa mzuri?
 
Nyumba ndogo vipi ?.

Eh! Hapa umeniacha kwenye mataa......................yaani mkate wake autafute ndani ya wingu la kuibiaibia tu.......yey ataka wa kwake siyo wa namna hiyo.........................
 
Mkuu Ruta,

Lazima awe option zaidi ya moja kama yuko serious.

yuko serious...............na kuwa na kijana mwenzie ndiyo seriosity yenyewe.................vijana nao ni tele kwa hiyo wanampa mibadala lukuki..........
 
yeye anatka kijana mtanashati mwenye uwezo wa kuhudumia familia..................asema ni kweli kamchezo amekafanya sana lakini sasa maejirekebisha kwa hiyo vijana wasimtupie kapu lake........lol.......................asema yeye hachagui kati ya mlokole au la......................wote sawa tu kwake....................tatizo juzijuzi nimemwona yuko pregnant....sasa sijui waht is happening now..........................nilishindwa kumwuuliza......................i thought that matter was too personal to her................................so I did not want to embarrass her........

Kwahiyo kaka unataka tuchukue kitu iliyochapwa sana na ina mimba ya mtu?
 
Ruta naona nimpe ushauri kidogo
Kusema kweli amejirahisi sana
Na wanaume washajua ni wa chapuchapu hit and run
Na inabidi afanye kazi ya ziada kuiondoa hiyo dhana ya yeye kuwa wa chapu chapu
wanaume tuna tabia moja japo unaweza kuiita umbeya ila ndo ilivyo. Tunaambiana vitu ambavyo hatukupaswa kuvisema
Na wanaume waliopita kw ahuyo dada wameshaambiana na wanaendelea kutoa siri zake kuwa yule ni wa chapuchapu sio wa kujenga kibanda
Aondoe hiyo dhana ya kuwa kila anayekuja kwake ana uwezo tena wa haraka kumvulia nguo na kumpata
la sivyo upweke utazidi kumuandama kwa muda mrefu
Miongoni mwa hao wa chapuchapu anaweza pata mmoja atulie nae

Mkuu heshima mbele,

Kwenye somo la probability tunaelezwa kwamba the more you toss a die the more the probability of getting your target, je kwenye masuala haya ya mahusiano hii theory haiapply?- assuming hao wanaume anaotembea nao hawana mawasiliano hivyo zengwe halitembei
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom