SHE is "single" and bored.....she needs a man in her life too...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHE is "single" and bored.....she needs a man in her life too......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Mar 6, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  binti mwenye umri wa miaka 26 anapolalama kuwa hana mtu tumsaidiaje? Adai anataka awe na wandani wake wa kusaidiana kulisukuma gurudumu la maendeleo.......lakini vijana wengi wanamhitaji kwa ile ya chapuchapu tu............tutamsaidiaje ili afanikishe malengo yake?.......ushauri please...............
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  kwenye hao wa chap chap kuna mmoja ataamua kubaki for gud.. she must keep going
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ani pm kuna mtu anataka nisaidiane nae kusukuma gurudumu la maendeleo na mimi sitaki
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kama kakufuata akakueleza, jiongeze.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Atulie, ipo siku atapata wake hata akiwa na miaka 40.
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Ruta naona nimpe ushauri kidogo
  Kusema kweli amejirahisi sana
  Na wanaume washajua ni wa chapuchapu hit and run
  Na inabidi afanye kazi ya ziada kuiondoa hiyo dhana ya yeye kuwa wa chapu chapu
  wanaume tuna tabia moja japo unaweza kuiita umbeya ila ndo ilivyo. Tunaambiana vitu ambavyo hatukupaswa kuvisema
  Na wanaume waliopita kw ahuyo dada wameshaambiana na wanaendelea kutoa siri zake kuwa yule ni wa chapuchapu sio wa kujenga kibanda
  Aondoe hiyo dhana ya kuwa kila anayekuja kwake ana uwezo tena wa haraka kumvulia nguo na kumpata
  la sivyo upweke utazidi kumuandama kwa muda mrefu
  Miongoni mwa hao wa chapuchapu anaweza pata mmoja atulie nae
   
 7. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mpaka kaileta hapa, kalitambua hilo ila HE'S GOT OTHER PLANS..ambazo hazihusishi kusukuma hilo gurudumu.
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Muulize apenda wanaume wa aina gani?

  Maana kama yeye ni type ya wadada wa mjini alafu sharobaro wa kike, alafu anavutiwa na mwanaume ambae ni mlokole, asitegemee atampata... atatongozwa na wanaume wanavutiwa na muonekano wake hali yeye hawapendi hivo kuwakataa na hivo kupleleka yeye kua lonely.....

  Muulize yeye ni dada wa aina gani?

  Kwamba anajionesha vipi kwa watu tokana na matendo... Je ni mtokaji saana as in mtu wa kujirusha saana kila club hakosi? mara nyingi binti ambae huenda kila club ya mjini ina maana wanaume woote ambao anakuta nao ni wa by nite. Take note hao wanaume hutaka galfriends wa show off wa by nite, na galfriends serious wale ambao sio wa by nite. Hive atakua anaishia kutongozwa na kulala na wanaume ambae wengi husepa baada ya mda mfupi.

  Muulize yeye hapo nyumbani ni makazi kazaliwa na kukulia hapo?

  Kama YES.... na ikatokea alianza ukicheche na uhuni at the age of 15, Just imagine at age 26 kalala na wangapi na woote hao mtaaani wawafahamu wanaume most walopita hapo. At that age ni wanaume wachache hujilipua kua na a serious relationship with yoou sababu ajua kua wataka mtu wa kukuoa.... na tayari wanaona kama hufai....

  Muulize anajitambua na kujua nini hasa anataka?

  Does she know her worth? Does she know kua anaheshimika ama lah katika ulimwengu wa wanaume (hii aweza pima kwa the type ya wanaume ambao wanamtongoza... i.e wapiga debe, wanafunzi, waume za watu, vijana.... n.k) Akijijua na kujua the type of men she wants.... then nirahisi kuappreciate a man ambae ni worth it akija katika maisha yake... instead ya kuleta pose za kitoto kana kwamba hana mpango hali the guy ni mpango mzima....


  Rutashubanyuma.... I believe you are well and good.
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  amekataa tamaa na hao wachapuchapu............hana imani nao tena mpe ushauri mwingine................are u single by the way?
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  we used to be very close until you dumped me for others...so am doing very fine despite you running away from me..........lol....kumbuka usiache mbachao kwa msalao upitao...........
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  yeye anatka kijana mtanashati mwenye uwezo wa kuhudumia familia..................asema ni kweli kamchezo amekafanya sana lakini sasa maejirekebisha kwa hiyo vijana wasimtupie kapu lake........lol.......................asema yeye hachagui kati ya mlokole au la......................wote sawa tu kwake....................tatizo juzijuzi nimemwona yuko pregnant....sasa sijui waht is happening now..........................nilishindwa kumwuuliza......................i thought that matter was too personal to her................................so I did not want to embarrass her........
   
 12. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anaonekana huyo ni unt-social,yaani kote anakopita yeye watu wanamuona hafai kwa kuolewa ndio maana anakimbilia jamvini
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  Amyner kweli una jicho la mwewe......you have hit the right notes...........lakini mbona humshauri m,wenzio afanyaje hapo?
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  yawezekana kuwa usemayo ni kweli sasa afanyaje aache kuwa anti-social naye ampate wandani wake wa milele.............she is really bored........
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  Brialex....................una mawazo na ushauri mzuri lakini hii dhana ya chapuchapu ataiondoaje............ahame mji nini?
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  ni kweli hata akifumbata vidole vyake bila ya kufanya jitihada fulani fulani hivi.............40 yrs not too late, I know........even to have babies too.....
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  changamoto yangu ni kumwezesha kumpata mtu kama Kongosho...................hapa JF.......................mie mchovu sina uwezo kupambana na hii damu changa.................kasheshe zao siziwezi................wasije kuniletea kifaduro cha usubuhi usubuhi.....lol
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  tatizo siyo member wa JF........................nipe wasifu wa huyo njemba nimpelekee kwa sms sasa hivi.........ili tuwaunganishe
   
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Mkuu nafikiri kuna time ya kusema enough is enough na ngoja niache hiki au kile
  Afikie mahali aseme kuwa tabbia ya kutongozwa na mwanaume siku moja na kumkubalia na siku hiyo hiyo anamaliza kila kitu ife
  Ni kuacha mazoea yake maana inaonekana ni tabia yake na ishakuwa sugu
  Aachane nayo kaka
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  huu ushauri ni kiboko lazima nimfikishie leoleo..................kama nimekuelewa vizuri ni kuwa sasa ilale usingizi wa pono.....angalau kwa miaka 3 khalafu mambo yaanze
   
Loading...