Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,171
- 18,879
Plan yangu ilikuaga kugonga geti jirani na ferry pale.Hata kama awe nani kwangu mimi atabaki kuwa mwanamke na nitamtreat kama mwanamke. Wanawake ni walewale no matter ana cheo au mali.
Yaani kumpata asie level yako ni kuna ka zali fulani na ka connection fulanimakaveli10 alikuwa sahihi kbsa.
Kuna wanawake Wana viwango vya juu Sana, yaani anakuzidi mpaka elimu na mengine yote ikiwemo na hela
Kila mwanaume hutongoza mwanamke wa level yake and vice versa.
Mkuu wale ni level zangu moja tulikutana shule ya st kayumba mgine ni jirani wetu kijijini, mgine alikua house girl wa kaka, nolipata accessibility, sasa we niambie utakutana je na bint wa kikwete ili umuoe?Mashemu zetu ulikutana nao wapi?
Kwa hiyo hakuna wanawake wenye hizo status wameolewa na wanetu kutoka life la kawaida?makaveli10 alikuwa sahihi kbsa.
Kuna wanawake Wana viwango vya juu Sana, yaani anakuzidi mpaka elimu na mengine yote ikiwemo na hela
Kila mwanaume hutongoza mwanamke wa level yake and vice versa.
Tena hapa kwenye inferiority ni mada nyingine.. mwanaume anapenda awe na mtu ambae kamzidi pakubwa, hapa naongelea mwanaume sahihi, achana na hawa wapenda kulelewa. .. na wengine kama kazidiwa elimu basi ye anapambania pesa na kama kazidiwa vyote basi unaluta jamaa hata mioango yake, akili zake, busara zake ni high level, mjanja kuzidi mwenzie, kiasi yule aliyebukua ankubali hapa ni lijitu genius lilikosa shule labda na hela ya urithi tu, lakini ni lipambanaji, lina mipangoLakini itakuwa haujaelewa context yangu Wala ya makaveli10 .
Nakubaliana na wewe katika hoja yako ila ukweli ni kuwa wapo wanawake ni level ambazo kuwapata inakuwa mtiti.
Maana kigezo kikuu cha kumpata mwanamke ni Hela,gari kali na cheo.
Sasa unakuta huyo mwanamke ana Kila kitu Tena pengine amekuzidi. Yaani amekuzidi hadi exposure ya maisha. Mwanaume automatically unakuwa unafeel inferiority complex.
Hakuna mwanamke anapenda awe namwanamke aliyemzidi.
Kama kigezo muwe level moja au humzidiMkuu wale ni level zangu moja tulikutana shule ya st kayumba mgine ni jirani wetu kijijini, mgine alikua house girl wa kaka, nolipata accessibility, sasa we niambie utakutana je na bint wa kikwete ili umuoe?
We ulizia level yake utaona kama wote wako juu level.Kama kigezo muwe level moja au humzidi
Kwani huyo aliyemuoa binti wa Kikwete ana utajiri na status kuzidi familia ya mke wake?
hii kitu hainihusu.Plan yangu ilikuaga kugonga geti jirani na ferry pale.
Ila baada ya lile tukio la October nikaghairi, maana mikono imemjaa damu na mie staki shirki.
Kwenye kila jambo exceptional zipo, lakini si mara zote inafanikiwa, ni kwa asilimia chache.Suala la kutongozana halina mazingira, Malia Obama pamoja alikuwa na ulinzi mkubwa akiwa first daughter jamaa aliyetoka naye alikuwa ni mshikaji tu kutoka ordinary family na akamfundisha kuvuta bangi. Mifano ni mingi
Wanu na Jokate kabla ya hizo status zao za sasa hawakuwahi kuwa na wanaume wa kawaida waliodate nao?Mwanangu toka beijing, kuna namna hujanielewa...
Kwanza tukubali maisha yanaenda kwa level hilo lipo wazi, hapo mwenyewe ulipo kuna manzi hata ikija ikutake unaweza ikataa bila tabu, kuna manzi zinakutolea macho ila hazina ujeuri wa kukufata, tulubaliane hapo..
Nawe pia hali kadhalika..
Mfano tuchukulie wanu wa samia, na wanawake wengine.. kwa level yao jinsi ya kuwaingia ni mbinde kwa sababu kuu mbili, level zenu,
kisha pili connection. Na hii connection huwa inachagizwa na level.
UKiwa na connection nae ndio hapo sasa maujanja yanapochukua nafasi. Na hizi connection ni kama ulisoma nae, uliishi nae zamani, kama bodaboda ni abiria wako etc..
So, level ama niseme status sijui zipo kuna watu ngumu mnoo wewe kukutana nao katika maisha ya kawaida, sababu sio level yako..
Kisha connection, huwezi from no where ukatongoza rihanna ππ€£, ah huo mfano mkubwa, lets say we leo jokate sio level yako, kisha huna connection nae unaweza mtongoza?
Ni kweli unaweza ukawa muuza viazi, ukamtongoza lakini sio hivi hivi labda awe ni mteja wako, uwe na connection ya kuja kuja kwako, mbadilishane namba na hapo ndio uanze chombeza mdogo mdogo, tena wanaume asili yetu ni kujaribu mdogo mdogo. Leo hivi kesho vile, kadri unavyopata upenyo ndio unachoma ndani zaidi.
Mnaweza anzia salam kisha hatua nyingine, kisha nyingine, kuna hatua unafika unaona hapa hapaingiliki unaishia hapo.
Mzee makaveli10 unasubiri connection kwani hukujifunza kwa MRUSI???Mwanangu toka beijing, kuna namna hujanielewa...

We hate the coldhii kitu hainihusu.
Unaweza kuta kwa namna yeyote kulikuwa na mazingira ambapo walishare vitu flani common, ndio maana ulishasikia dereva au mlinzi wa mtu maarufu wakawa wapenzi, kwa sababu wanakuwa pamoja na wanaongea mara nyingi.Wanu na Jokate kabla ya hizo status zao za sasa hawakuwahi kuwa na wanaume wa kawaida waliodate nao?
Yaani nimecheka sana, we mtoto huna akiliπ π π π π π πHivi ni kwanini ukiwa unatembea, njiani kukiwa na mavi/kinyesi ni lazima ukione na usipokiona ni lazima ukikanyage?
Yani hakiwezi kukuacha salama
Kama plan ni kupiga na kusepa, popote utakapokutana na mkurugenzi unaweza kutongoza hata kanisani muhimu ni kuteka attention yake tu bhhaaas.Kumuoa sio ishu, ishu muhimu ni kwamba wewe muendesha bodaboda mtakutana wapi na mkrugezi wa benki ili umtongoze.