Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,374
Hata me mwenyewe nimekazia hapo hapo ila nimeongeza tu kipengele cha kumiliki ili mtu asije akahisi kinachoongelewa ni kumiliki badala ya hit and runNafikiri mada haiongelei kummiliki bali ni kugonga na kusepa.
😀😀
Sasa hao waliojipata ndio wazuri kuwapata maana yeye anakuelewa kikweli kidumeKama hayo maneno uliyoweka quote ameongea jamaa,basi nakubaliana nae asilimia 100.
Kuna wanawake ili uwapate basi inabidi ujiupgrade wewe mwanaume ili ufikie viwango vyake. Hapa nazungumzia katika level ya kiuchumi kama amekuzidi.
Mwanamke akishakuwa na uchumi mkubwa ,gari Kali,nyumba ya mamilioni na mwonekano wa HD( mrembo aliyepita viwango vya uzuri wa kawaida) automatically anapunguza wanaume kumfuatilia.
Yaani anakuwa kama mlimani city ilivyopunguza au kuchuja masikini,kwa sababu masikini wanaogopa vioo (uzuri na gharama ) na mambo kama hayo.
Mfano kwenye story ya Member INSIDER MAN ,jamaa mmoja Ambae alikuwa ni Mwarabu ana Mali za mafuta Dubai, na Bongo ana biashara pamoja na utajiri wote alikuwa anamgwaya mwanamke main character wa kwenye ile story.
Kwa sababu alipotaka kwenda kwa gia ya Hela/ ukwasi akashauriwa na jamaa kuwa huyo Binti hata umuonge milioni mia hawezi kukukubali kwa hiko kigezo maana yeye mwenyewe ana Hela chafu Mwarabu akagwaya na mihela yake.
Nakubaliana na wewe kuwa hakuna mwanamke special ila kwanza hakikisha mwanaume uwe umeinuka kiuchumia maradufu(pesa inaleta security na authority) kumzidi huyo manzi. Vinginevyo akupende yeye bila kuzingatia uchumi wako.
Mfano yule jamaa wa Arusha anayetrend mitandaoni kupendwsa na ile pisi Kali muuza nguo. Jamaa kaangukiwa tu na zali la mentally.
Sahihi... umenielewa mkuuNilichomuelewa makaveli10 ni kwamba kuna wanawake si rahisi kuwaingia tokana na mazingira yenu wote wawili mlivyo.
Unakuta kazi zenu hazina muingiliano wala haiwezekani kuwepo na mazoea.
Au mtu akiziba pua na kutema mate,unajua kabisa huyu ameona mavi au ameona kitu kibaya kilichooza na kinanuka vibaya mno na wewe harufu unaiskia na huipendi.Hivi ni kwanini ukiwa unatembea, njiani kukiwa na mavi/kinyesi ni lazima ukione na usipokiona ni lazima ukikanyage?
Yani hakiwezi kukuacha salama
NAKAZIAKatika maisha ogopa sana kitu kinaitwa HISIA,- HISIA haina class wala speciality yoyote
Lakini itakuwa haujaelewa context yangu Wala ya makaveli10 .Sasa hao waliojipata ndio wazuri kuwapata maana yeye anakuelewa kikweli kidume
Manzi masikini hata akikuambia anakupenda unashindwa kuelewa anamaanisha au ni njaa inamsumbua
Toa mifano halisiNakubaliana na wewe katika hoja yako ila ukweli ni kuwa wapo wanawake ni level ambazo kuwapata inakuwa mtiti.
Katika mfumo wa ubepari lazima utafute class yako, ukikata utaendelea kuishi kwenye "life of denial", we mkilima wa vitunguu Sigida kijijini, ni ngumu kupata mazingira ya kumpata mtoto wa bakhresa au Kikwete umtongoze na atimae umoe ni vigumu sana. ni rahisi kua Nabii wa walokole kuliko wewe kuoa mtoto wa Raisi kwa mfumo hu wa capitalism.Leo nimekuwa na mjadala na mwanetu makaveli10 yeye anasema kuna wanawake ni level nyigine hata ufanyaje hauwezi kumpata.
"Kuna mademu bongo we mwenyewe unawatamani lakini level ile si yako na katika maisha haya ya kawaida ya kila siku hamna muingiliano wowote, ni ngumu kutoboa."Sikubaliani na mwanetu Kaveli na wanaume wote wemye mtazamo kama huo.
— Makaveli10
Kosa la kwanza ni kumuona mwanamke fulani level nyingine au special.
Kosa la pili kumuona mwanamke fulani ni tofauti na wengine.
Kosa la tatu ni kuona mwanamke fulani anastahili tu kutongozwa na wanaume fulani tofauti na wewe
Hakuna mwanamke wa level fulani au special, kumbuka:
Ameshalalwa na wanaume masikini kuliko wewe
Ameshalombwa na wanaume wabovu kwa mwonekano kuliko wewe
Kumbuka huyo mwanamke unayemuogopa kuna mwanetu mmoja alishamwambia mimi na wewe basi na demu akamwaga chozi.
Kuna mwamba mwingine ni simu moja tu manzi anaipeleka K inachapwa.
Then kuna mwana tu yuko kitaa alimtoaga bikira na manzi anamkumbuka mwana hadi leo kwa majina yake yote 3
Hakuna mwanamke special wala wa level nyingine so long as sio bikira
Hii ni wewe tu mkuu usiwazungumzie wanaume wote wanaofeel inferiority complex kwa aina hiyo ya wanawakeSasa unakuta huyo mwanamke ana Kila kitu Tena pengine amekuzidi. Yaani amekuzidi hadi exposure ya maisha. Mwanaume automatically unakuwa unafeel inferiority complex.
Wanaume tunajifelisha sana, inakuwaje mwanaume kutoka familia za kitajiri wanaoa mademu kutoka familia za kawaida kiuchumi na hata status?Katika mfimo wa ubepari lazima utafute class yako, kikata utaendelea kuishi kwenye life of denial, we mkilima ni ngumu kupata mazingira ya kumpata mtoto wa bakhresa au kikwete umtongoze ningumu sana na rahisi kua Nabii wa walokole kuliko wewe kuoa mtoto wa Raisi kwa mgumo hu.
Tena hao wanawake wanaojionaga wapo upper class wana papuchi mbovu sn..Umesema vyema, tunazungumza lugha moja sasa
Very nice observation1. Katika maisha ogopa sana kitu kinaitwa HISIA,- HISIA haina class wala speciality yoyote
-ndiyo maana waweza kuta mwanaume imara, lakini ana mwanamke anafanana na ufunguo wa magereza
-au unakuta mwanamke yupo vizuri lakini anabeba mwanaume hana pesa(wakati mwingne anatunzwa) na ana sura haieleweki kama namba za four figure ya form two...hisia hisia ni kitu ambacho kinaweza kukuuwa au kukuhuisha katika mapenzi.
2. kinachosabbisha umuone ni special ni kutokana na umbali wa kumfikia, lakini ukiwa karibu hana uspecial wowote na analika vizuri
3. umaskini wetu wanaume ni janga letu
-huwezi kuwa unashindia mawashio(furu na dagaa) upate akili ya kuwazia mademu wengne zaid ya kuwaza pesa ya kununua nyama.
4.mwanamke special ni yule
-uliye naye kwenye ndoa (hakika mjali)
-aliyekuzalia au aliyetayari kukuzalia kiumbe
-anayekupenda, kusamehe mnapokosea, kukujali, anayekubebea madhaifu, anayekutunzia siri
hapa kwenye bikra, busara inanituma kunyamaza, nisije kosea hawa viumbe.
Kumuoa sio ishu, ishu muhimu ni kwamba wewe muendesha bodaboda mtakutana wapi na mkrugezi wa benki ili umtongoze.Wanaume tunajifelisha sana, inakuwaje mwanaume kutoka familia za kitajiri wanaoa mademu kutoka familia za kawaida kiuchumi na hata status?
Mapenzi hisia
Sikupingi kaka speaking from experienceTena hao wanawake wanaojionaga wapo upper class wana papuchi mbovu sn..
Umeoa mkuu?Kumuoa sio ishi, ishu muhimu ni kwamba wewe muendesha bodaboda mtakutana wapi na mkrugezi wa benki ili umtongoze.
Kwani ulijaribu wangapi dont creat defensive mechanism mkuu.Tena hao wanawake wanaojionaga wapo upper class wana papuchi mbovu sn..
Mkuu nimeoa zaidi ya Mara tatu.Umeoa mkuu?
Mashemu zetu ulikutana nao wapi?Mkuu nimeoa zaidi ya Mara tatu.