She is not special

She is not special

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
8,102
Reaction score
23,693
Leo nimekuwa na mjadala na mwanetu makaveli10 yeye anasema kuna wanawake ni level nyigine hata ufanyaje hauwezi kumpata.

"Kuna mademu bongo we mwenyewe unawatamani lakini level ile si yako na katika maisha haya ya kawaida ya kila siku hamna muingiliano wowote, ni ngumu kutoboa."
— Makaveli10
Sikubaliani na mwanetu Kaveli na wanaume wote wemye mtazamo kama huo.
Kosa la kwanza ni kumuona mwanamke fulani level nyingine au special.

Kosa la pili kumuona mwanamke fulani ni tofauti na wengine.

Kosa la tatu ni kuona mwanamke fulani anastahili tu kutongozwa na wanaume fulani tofauti na wewe

Hakuna mwanamke wa level fulani au special, kumbuka:

Ameshalalwa na wanaume masikini kuliko wewe

Ameshalombwa na wanaume wabovu kwa mwonekano kuliko wewe

Kumbuka huyo mwanamke unayemuogopa kuna mwanetu mmoja alishamwambia mimi na wewe basi na demu akamwaga chozi.

Kuna mwamba mwingine ni simu moja tu manzi anaipeleka K inachapwa.

Then kuna mwana tu yuko kitaa alimtoaga bikira na manzi anamkumbuka mwana hadi leo kwa majina yake yote 3

Hakuna mwanamke special wala wa level nyingine so long as sio bikira
 
Classes lazima ziwepo kwenye jamii, no matter what
Kwa hiyo na wewe kuna mademu wanakuona sio level yao? Hakuna mwanamke mwenye huo mtazamo.

Wale viumbe kwenye dating market wako mwaka wa mbele sana kuzidi wanaume. Hata malaya ana imani ataolewa na bilionea

Ni sisi wanaume tu ndio ambao tunapenda kujiona tumezidiwa level na aina fulani ya wanawake
 
Labda neno "level zingine" lina maana ya "dau ghali"

Ni kweli mara nyingi mademu ambao ni celebrities wanakuwa na values zao kulingana na jinsi wanavyoji brand.

Kuna Demu alisema yeye anaogea maziwa hatumii maji.

Sasa kauli kama hii inakuwa inamtahadharisha mwanaume anayetaka kumtongoza kuwa ajiandae vizuri financially kwasababu demu ni wa gharama.

Lakini ukweli mwingine ambao hausemwi ni kwamba wanawake wenye hizi demand sio wote wanaliwa na wenye hela tu.

Mfano yule mrusi naskia kawababua slay queens wengi bila cheddar kwasababu walipapalika na kile kidali na kale karangi.

Ndio maana baadhi ya wanaume wanashinda gym kujenga 6pack washajua ni weakness za maduu wengi wenye slogan za "wewe sio type yangu".
 
Kwa hiyo na wewe kuna mademu wanakuona sio level yao? Hakuna mwanamke mwenye huo mtazamo.

Wale viumbe kwenye dating market wako mwaka wa mbele sana kuzidi wanaume. Hata malaya ana imani ataolewa na bilionea

Ni sisi wanaume tu ndio ambao tunapenda kujiona tumezidiwa level na aina fulani ya wanawake
Levels lazima ziwepo kwenye dunia hii huwezi kuziondoa, kuna madem mi naona sio level zangu, na pia kuna madem wanaona me sio level yao,na hio ni kawaida sana
 
Nilichomuelewa makaveli10 ni kwamba kuna wanawake si rahisi kuwaingia tokana na mazingira yenu wote wawili mlivyo.

Unakuta kazi zenu hazina muingiliano wala haiwezekani kuwepo na mazoea.
Suala la kutongozana halina mazingira, Malia Obama pamoja alikuwa na ulinzi mkubwa akiwa first daughter jamaa aliyetoka naye alikuwa ni mshikaji tu kutoka ordinary family na akamfundisha kuvuta bangi. Mifano ni mingi
 
Back
Top Bottom