She is not my standard

maisha yataendelea, ila sipendi mtu apoteze maisha yake sababu yangu mimi..ndio maana natafuta njia ambayo itamwacha huru na mimi pia itaniweka huru mkuu.
Kaka, huwezi kuishi maisha yako kwa kutaka kumridhisha kila atakayekufuata. Ndio maana nimekwambia uamuzi ni wako, kusuka ama kunyoa
 
Hakuna mwongozo wala utaratibu kwani wewe ulivyokuwa ubamgegeda ulituomba ushauri? Hata kinyaa huna unachangia dem na rafiki zako! Hafu wakati ubamgegeda hukujua kuwa hana elimu inayotaka? Wasomi wetu una masters lakini hujui kuishi kama msomi.
 
Kaka, huwezi kuishi maisha yako kwa kutaka kumridhisha kila atakayekufuata. Ndio maana nimekwambia uamuzi ni wako, kusuka ama kunyoa
Hapo nimekuelewa bro..kwa hiyo lazima niwe mbinafsi? yani nijijali mimi kwanza sio? ok bro
 
She is not your standard but you enjoyed taking her for a ride? Then wewe ndo wa double standards, you should have told her that from day one. Halafu mwambie no man is worth dying for esp. you....
 
Hapo nimekuelewa bro..kwa hiyo lazima niwe mbinafsi? yani nijijali mimi kwanza sio? ok bro
Kumbe wewe ni mtu wa maajabu sana. Nilidhani tunakushauri kumbe waliokuona wewe na huyo below standard wako mko sawa hawakukosea. Mbona hujawahi kutoa mshahara wako wote ukawapa ndugu zako wenye shida na wewe ukaamua kulala njaa ili usionekane mbinafsi? Maisha yameshakushinda mapema sana pamoja na madigrii yote uliyonayo kama mawazo yako ndo hayo
 
Your brain says: shes not my standard
your dick says : she sweet, hottie & tight,,
 
Your brain says: shes not my standard
your dick says : she sweet, hottie & tight,,
Bahati nzuri sifuati maamuzi tofaut na akili yangu, vingine ni tamaa tu.
Aksante
 
She is not your standard but you enjoyed taking her for a ride? Then wewe ndo wa double standards, you should have told her that from day one. Halafu mwambie no man is worth dying for esp. you....
But nlimwambia toka mwanzo kama umefuatilia uzi vizuri, tatizo ni mazoea yakamsahaulisha uhalisia wa mahusiano yetu.
 
Mpende na msaidie awe unavyotaka awe, hata usipomuoa, pengine hata utakayempata atakuwa ametumiwa na watu hata wengi zaidi ya hao ulowataja. kama huwezi tafuta jinsi nzuri ya kuachana naye kama uandae fumanizi kwa hao marafiki zako kwani ww na hao jamaa zako mna mchezo mbaya.
 
wanaume tunapenda sana mteremko mtu akikuganda unatafuta ushauri JF!ilitakiwa pale pale alipokua anaanza kukusumbua uje utake ushauri,ushamchezea mtoto wa watu saa hizi afanani na wewe!mmh pole sana mkuu,ukilimaliza hilo anza upya.
 
Bahati nzuri sifuati maamuzi tofaut na akili yangu, vingine ni tamaa tu.
Aksante
kweli kabisa mkuu, hayo maelezo yako hapo juu ktk thread yanathibitisha kwamba kweli huwa unafuata maamuzi ya akili yako.
 
Usomi wako ulipaswa kuutumia tangu mwanzo ulipoanza mahusiano na huyo kidosho/kicheche. Iweje rafiki yako alale naye ndani kwako na wewe umlale katika chumba hicho hicho?! Then umrudie tena na tena...! From the beginning kulikuwa na signs zote kuwa huyo binti ni kicheche. Binti mwenye kujielewa kwanza hatoi namba ya simu kwa strangers leave alone kuingia kwenye nyumba ya mtu ambaye umekutana naye barabarani tena siku ya kwanza. Kwa kisingizio cha kuangalia tamthiliya. Kwani siku zote hiyo tamthiliya alikuwa anatazamia wapi?!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…