She is not my standard

tchaa make her know u are not her type too, since mlikua mnamegana tuu, na mwambie una hizo degree zako 2 akuogope zaid... kama kabadilika do something
 
Thanks, so ntamwachaje?

Mrsleo kakupa ushauri mzuri sana sasa Kama utashindwa, kufanyia Kazi shauri yako maana hakuna njia nyingine. Huwezi kubadilisha simu basi block namba yake. Vinginevyo Inaonekana bado unampenda
 
Kijana huyo tayari ni mkeo. Oa kabisa kwa umri wako usitegemee kama utapata mwanamke ambaye hajagegedwa na mtu ni bahati mbaya au nzuri amegegedwa na unaowafahamu hii itakusaidia kujua status yake kwa urahisi zaidi. Na amini amekufurahisha sana katika mapenzi ndo maana umerudia na kurudia. Mtengeneze huyo maisha yatakuwa mazuri tu
 
Huu uzi kama nilishauonaga kipindi kirefu sana humu JF. Wadau wale wataalamu wa kuzifukua nyuzi chakavu naommba mnisaidie.

CC: Watu8
 
tchaa make her know u are not his type too, since mlikua mnamegana tuu, na mwambie una hizo degree zako 2 akuogope zaid... kama kabadilika do something
Hapa ndio JF...nimepata nilichokua nakikosa.. DONE
 
Huu uzi kama nilishauonaga kipindi kirefu sana humu JF. Wadau wale wataalamu wa kuzifukua nyuzi chakavu naommba mnisaidie.

CC: Watu8
Hauko sahihi, hii ni hali halisi..na sijawahi kupost wala kuomba ushauri binafsi.
ni kitu kiko within me, huwa nakiita DARK PASSENGER .....
 
Teh teh,kama una degree mbili na umeandika ths topic ukiwa mzima kichwani.!.Basi unamatatzo makubwa kuliko hata ya mtu wa standard 7.
Aksante sana.. Dr.Makarang,
ila sioni tatizo kueleza tatizo bali ni tatizo kuficha tatizo, Doctor wangu..
aksante.
 
Kweli kabisaaaa!
 
kama ....kuliwa ni kawaida sana ,mwache ajiue tu ,kwani unampenda wewe!
 
Huyo demu ni double standard analenga maisha kwako shtuka demu gani maji mara moja?we huoni hajajishtukia umemtafuna na friend wako kamtafuna?
 
Kweli mkuu...Hapa nishastuka, nadhani ntafuata mawazo yenu, nlikua nakwazika sana na nliifanya Personal kwa kitambo kirefu.
 
wewe jamaa upo flexible na digirii zako 2, hebu muoe uongeze hiyo fom foo....
 
wewe jamaa upo flexible na digirii zako 2, hebu muoe uongeze hiyo fom foo....
Naona degree mbili ni tatizo, mkuu? Kuzungumzia degree mbili ni kutaka kuelezea kwa ufupi profile yangu na jinsi binti anavyofanya kama ukisikia mtu wa namna yangu anaoa mtu wa tabia hizo nadhani haitakuingia akilini, ..
Hilo ndio lengo mkuu, Thanks
 
Yamekukuta eeeh!!!! Pole sana. Ndio dunia. Funga naye ndoa.

Naona degree mbili ni tatizo, mkuu? Kuzungumzia degree mbili ni kutaka kuelezea kwa ufupi profile yangu na jinsi binti anavyofanya kama ukisikia mtu wa namna yangu anaoa mtu wa tabia hizo nadhani haitakuingia akilini, ..
Hilo ndio lengo mkuu, Thanks
piga chini, hakuna cha sumu wala nini msomi....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…