she is economically stable, beautiful and sexy,

Kufurahia kampan sio kupendwa arifu..kwa maisha ya sasa stress kibao kwa hiyo watu wanapenda marafiki ambao wakikutana atleast aweze kupumzika na kufurahi na sio lazima kuwe na love!!!!!

Mwanaume wewe funguka utamsikia tu response yake ila jua kuna tongoza ya ndoa na ya kutaka mapenzi ili kufurahisha mtima,kama yeye ni muolewa halafu ukaleta part time character pambano litaishia hapo!!!!!

All in all hakuna formula just be a man and rake the field
 

mzuka sana kachala,
 
huna lolote umeshawishika na vijisenti vya huyo sister.
 
Sijui kama upo tayari.maana usingeuliza humu kama kweli unampenda why not ila inavyoonyesha wewe mwenyewe hujiamini kwake
 

muoe huo ndo ushauri,usipoteze mda kijana,hyo ni fursa itumie ipasavyo
 
A real man can always catch up...
Pesä ni juhudi tu...
Ukipunguza usingizi zitakuja miiingi....

Aaaaaaaaaaaah wapi! Unanichimba hapa nikiongea wanaume wanataka kunimwagia tindikali humu!

Pesa zinafata NYOTA! Kama nyota huna kwisha habari yako! Utahama biashara tu!

Besides hizo EMOTIONAL STRESS kabla hujapata hizo pesa nani anazitaka? Not mention there is a 50% chance usipate hizo pesa???????

ITS A GAME OF CHANCE AND YOUR CHANCES ARE LOWER!!!!!!!! Asigamble na maisha yake ESPECIALLY asipoweza kuzipata hizo pesa ATAOLEWA NA MKEWE!!!!!!!! Kwanini asitafute saizi yake, its more logical coz akipata hizo pesa better for him na akikosa well sio deni!
 
uko vizuri aisee,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…