jaribu kula mzigo kwanza ..mengine baadae
Usijaribuuuuuuuuuuuu!
hapo hakuna umri hiyo symbolism tu
Ok regardless ya umri usijaribu kulazimisha maji kupanda kilima find a woman of your caliber
Kufurahia kampan sio kupendwa arifu..kwa maisha ya sasa stress kibao kwa hiyo watu wanapenda marafiki ambao wakikutana atleast aweze kupumzika na kufurahi na sio lazima kuwe na love!!!!!
Mwanaume wewe funguka utamsikia tu response yake ila jua kuna tongoza ya ndoa na ya kutaka mapenzi ili kufurahisha mtima,kama yeye ni muolewa halafu ukaleta part time character pambano litaishia hapo!!!!!
All in all hakuna formula just be a man and rake the field
A real man can always catch up...
Pesä ni juhudi tu...
Ukipunguza usingizi zitakuja miiingi....
Mke mwema atoka kwa bwana...muulize bwana.
uhuru wa maoni pia ruksa jombaahuna lolote umeshawishika na vijisenti vya huyo sister.
niaje wana jf,
kuna this woman we have been knwoing each other kwa muda mrefu sasa, anaelekea umri wa 30s soon, bt she is not married or having any serious relationship, ana elimu, a well paying job, a car and a house too,
upande wangu mim, amenizid kipato na kila kitu.. Lakin napokuwa nazungumza naye anakuwa anaenjoy sana kampan yangu, sasa nimefikiria kwa muda sasa kuhusu kuingia naye kwenye mahusiano thou hata umri pia amenizidi.. Kinachonivutia ni tabia zake njema if possible awe mke kabisa...
I need an advice pls
no offence
Sijui kama upo tayari.maana usingeuliza humu kama kweli unampenda why not ila inavyoonyesha wewe mwenyewe hujiamini kwake
muoe huo ndo ushauri,usipoteze mda kijana,hyo ni fursa itumie ipasavyo
Mkuu awe analala saa 7 au 8 za usiku?????????????
A real man can always catch up...
Pesä ni juhudi tu...
Ukipunguza usingizi zitakuja miiingi....
The devil at work
uko vizuri aisee,Aaaaaaaaaaaah wapi! Unanichimba hapa nikiongea wanaume wanataka kunimwagia tindikali humu!
Pesa zinafata NYOTA! Kama nyota huna kwisha habari yako! Utahama biashara tu!
Besides hizo EMOTIONAL STRESS kabla hujapata hizo pesa nani anazitaka? Not mention there is a 50% chance usipate hizo pesa???????
ITS A GAME OF CHANCE AND YOUR CHANCES ARE LOWER!!!!!!!! Asigamble na maisha yake ESPECIALLY asipoweza kuzipata hizo pesa ATAOLEWA NA MKEWE!!!!!!!! Kwanini asitafute saizi yake, its more logical coz akipata hizo pesa better for him na akikosa well sio deni!