she is economically stable, beautiful and sexy,

Aaaaaaaaaaaah wapi! Unanichimba hapa nikiongea wanaume wanataka kunimwagia tindikali humu!

Pesa zinafata NYOTA! Kama nyota huna kwisha habari yako! Utahama biashara tu!

Besides hizo EMOTIONAL STRESS kabla hujapata hizo pesa nani anazitaka? Not mention there is a 50% chance usipate hizo pesa???????

ITS A GAME OF CHANCE AND YOUR CHANCES ARE LOWER!!!!!!!! Asigamble na maisha yake ESPECIALLY asipoweza kuzipata hizo pesa ATAOLEWA NA MKEWE!!!!!!!! Kwanini asitafute saizi yake, its more logical coz akipata hizo pesa better for him na akikosa well sio deni!

Umeanza elimu ya nyota siku hizi?
 
Aaaaaaaaaaaah wapi! Unanichimba hapa nikiongea wanaume wanataka kunimwagia tindikali humu!

Pesa zinafata NYOTA! Kama nyota huna kwisha habari yako! Utahama biashara tu!

Ha ha..

Hii imekaa ki-pwani zaidi..

Kama miaka 4 iliyopita nlikuwa natoka kilwa masoko pale..gari yetu inaondoka mida ya saa 2 hivi asubuhi lakini cha kushangaza maduka yoote bado yamefungwa...ha ha..halafu mtu aniambie hawa watu ni masikini sababu ya nyota..

Au nyota za wachagga ni 'tafauti'??,,,kama vipi tumbadilishe kabila kijana huyu kabla hajasaini mkataba na totoz hapo...
 
Tulia kijana mjini kuna sheria!!

Hushangai karikoo wanauza wote maduka ila WAKINGA na WAPEMBA ndo wanashusha maghorofa? NYOTA HIO!!!!!!! Wengine duka moja miaka 800000!

Wanafunga maduka HESABU ISHATIMIA NA KUZIDI!!!!!!!!! LOL!
 
ha ha...

Waswahili wanaiita 'rizki hupanga mola' au sio??!
Wakati huo wakinga kitu cha 1000 wanauza 800,
wanapata faida ya sh 100 @ item na mzigo unaisha,
wakati huo wewe wa 1000 unakaa nao mwezi...
of course mola anapanga...lakini kuna usingizi wa mawazo.
usimtishe kijana hapa,,tena mtaji achukue kwa huyo huyo sugar mamma
 
Heshma ya mwanaume iko kwenye upendo, ukimpenda kwa dhati na KUTIMIZA wajibu wako, you will be a husband of her dreams for ever.... JIAMINI
 
Me I know a friend of mine, anadate mwanaume ambaye (tho wamelingana umri) but he was her student wakiwa chuo, that man treats the lady like a baby and lets just say that, the Brother knows how to handle his business as a man and a lover, ....... my friend is thinking of marrying him by hooks and crooks.
 
ha ha...

Waswahili wanaiita 'rizki hupanga mola' au sio??!
Wakati huo wakinga kitu cha 1000 wanauza 800,
wanapata faida ya sh 100 @ item na mzigo unaisha,
wakati huo wewe wa 1000 unakaa nao mwezi...
of course mola anapanga...lakini kuna usingizi wa mawazo.
usimtishe kijana hapa,,tena mtaji achukue kwa huyo huyo sugar mamma

HAKUNA! Kijana achukue kijana mwenzie! We mwaume kakuzidi miaka 10 mkitembea inaonekana mmepishana mwaka afu unamshauri kijana nini?
 
kwahiyo hapo tunarudi kwenye swala age difference ni shida sio Lara 1
 
Mwandiko wako unaonyesha jinsi ulivyo.
Kwa kusoma tu coments zako nakushauri umwache kabisaaa huyo dada, huwezi kumhandle sababu hujiamini, hujitambui na huna msimamo.
NB: kuchekewa na binti haimaanishi kaipenda kampan yako, tanua ubongo
 
ndicho unachoamin sio, mzuka pia
 
Back
Top Bottom