Danyel mweusi
Member
- Nov 17, 2012
- 81
- 19
niaje wana jf,
kuna this woman we have been knwoing each other kwa muda mrefu sasa, anaelekea umri wa 30s soon, bt she is not married or having any serious relationship, ana elimu, a well paying job, a car and a house too,
upande wangu mim, amenizid kipato na kila kitu.. Lakin napokuwa nazungumza naye anakuwa anaenjoy sana kampan yangu, sasa nimefikiria kwa muda sasa kuhusu kuingia naye kwenye mahusiano thou hata umri pia amenizidi..
I need an advice pls
no offence

Kama hizo sbabu ndo zinakufanya uwaze kumuapproach nakushauri acha mtoto mzuri?
Umejuaje anaenjoy company yako?au ndo mkishachangamkiwa t na kuchekewa kidogo munafikiri the woman loves you?
Atakudharau......am telling you......tafuta level yako......
niaje wana jf,
kuna this woman we have been knwoing each other kwa muda mrefu sasa, anaelekea umri wa 30s soon, bt she is not married or having any serious relationship, ana elimu, a well paying job, a car and a house too,
upande wangu mim, amenizid kipato na kila kitu.. Lakin napokuwa nazungumza naye anakuwa anaenjoy sana kampan yangu, sasa nimefikiria kwa muda sasa kuhusu kuingia naye kwenye mahusiano thou hata umri pia amenizidi.. Kinachonivutia ni tabia zake njema if possible awe mke kabisa...
I need an advice pls
no offence
Kama hizo sbabu ndo zinakufanya uwaze kumuapproach nakushauri acha mtoto mzuri?
Umejuaje anaenjoy company yako?au ndo mkishachangamkiwa t na kuchekewa kidogo munafikiri the woman loves you?
Hufai kuwa mume
HUJIAMINI KABISA
Unatuaibisha
Inaonekana hujui majukumu ya MWANAUME wewe
Kajifunze kwanza ndo ufikirie ndoa!!!!!!!!!
Umeonae?!Kutokana na umri wake atakuwa hatujui.Ngoja ajaribu moto .Dogo anawaza hela tu hana lolote
Hivi hawajuieeeeeeeeehhhh!!!!!!!!!!
Ngoja atakuja tu hapa na malalamiko kontena zima
Dogo hajakua huyu!!!!
Dogo anawaza hela tu hana lolote
Hivi hawajuieeeeeeeeehhhh!!!!!!!!!!
Ngoja atakuja tu hapa na malalamiko kontena zima
Dogo hajakua huyu!!!!
Umeonae?!Kutokana na umri wake atakuwa hatujui.Ngoja ajaribu moto .
jomba inakuwa kama unanifahamu vizuri unaweza kuta we dogo sana kwangu kuwa na heshima kachala toa ushauri ukishindwa kaa kimya..
ushauri tu unahitajika , umesoma vizuri uzi mkuu,
Dogo acha kelele
Ushauri hujauona??????