Hao watu wema wanajulikana vipi? Mtu yeyote yule huwezi kujua wema au ubaya wake kwa picha tu.Jamaa ukimuangalia usoni hakuwa mtu mwema kabisa
Hao watu wema wanajulikana vipi? Mtu yeyote yule huwezi kujua wema au ubaya wake kwa picha tu.
Kuna watu niliwahi kuwajua wana sura za upole ila wana matendo mabaya sana tofauti na mionekano yao.
Ukikaa na mtu hata kwa dakika 5 una nafasi ya kumjua japo kwa uchache.
Huyu jamaa kitu ambacho nashukuru kwake ni kutoshambulia watu hovyo lasivyo tungepata madhara makubwa zaidi ya haya aliyofanya.
R. I. P wote waliofariki katika tukio hilo la jana.
Nikitumie picha yangu uniambie tabia zangu?Brother usibishe, unaweza kujua tabia ya Mtu kwa muonekano wake..
Kuna somo linaitwa ‘PHYSIOGNOMY ‘ kwenye intelligence...
Kwa hiyo inawezekana japo isiwe 100% ila probability ipo.
A wise man walks with caution at all times.
Nikitumie picha yangu uniambie tabia zangu?
Umeona eenhh???.Mimi simlaumu kwasababu hakuua raia ambao kimsingi hawana hatia.Chukulia ungekuwa wewe udhulumiwe madini (dhahabu) na jamaa wa magwanda
Jamaa Ana haki kulipiza maana kusota ukitafuta madini arafu jamaa wanayachukua kirahisi
Ndio maana huyu poti alikuwa haui raia
Uandishi wako unaonesha wewe chadema.Nikitumie picha yangu uniambie tabia zangu?
Siyo kila mtu ni mfuasi vyama vya siasa. Hakuna chama chochote kinaweza kunimiliki kwa sera hapa nchini.Uandishi wako unaonesha wewe chadema.
La SHUGHULIShati la maagano bwana 😁😁
Ukimsogelea police ukiwa umevaa hili shati,lazima akuanzishie mtiti