Mwaka 1984 nilikuwa miongoni mwa watanzania wazawa wachache waliobahatika kununua mashati new fashion ya juliana.....Mashati yaliyosemekana kuleta ugonjwa ama kuja na ugonjwa usiotibika wa JULIANA(UKIMWI)
Mwaka 1990 nikabahatika tena kuwa miongoni mwa wa watanzania wachache waliokuwa na uwezo wa kununua sarawili za jeans za SAVCO na CASUAL KHAKI za BIOACT....RABA za LAKUPANDA zenye gidamu za kung'aa za rangi mbili tofauti
Miaka ya 2000 nikabatika tena kuwa miongoni mwa watanzania wachache waliokuwa na uwezo wa kuingia show room na kuvuta CRESTA BALOON GX 90...kwa cash money!!!
Kwa mara ya kwanza...tena sharp kwa haraka mwaka 2005 nikaingia cha jinsia pinzani kwa kuvuta FORD EXPLORER V8 USED LEFT HAND la kimarekani....baada yawiki moja tu likawa limenikifu....lilikuwa tayari limeshakula wese la laki..(bythen petrol lita moja ilikuwa buku) Road licence haikuwa mbaya ila service ikawa ghali sana
Gari inachagua coolant
Gari inachagua petrol
Gari inachagua engine oil
Gari inachagua hydraulic
Gari inachagua hata break fluid....
Nikajisemea...naunikome mwana wa mwenzio sikutaki tena...nikaliuza Kongo kinshasa tena kwa ndumba
The same story inataka kujirudia mwaka huu...! Achana na mpenzi bombadia...!(aka dogo msumbufu/terrible teen)...nazungumzia DIMULAINA...kitu brand new..! MwaNa mZee BaBa kakizikiri mwenyewe...! RAA ILIOJE....! Milonje katikati ya white apple...new blend....!!!
RIP mzee Sanga wa Jmall casino ...tutakukumbuka daima kwa upendo wako na HAMMER lako rangi ya njano ...posta masaki petrol erufu hamsini...gharama za dimulaima likiwa limepaki unapata viwanda kadhaa(Tanzania ya viwanda)...[emoji144] [emoji144] [emoji144] gharama ya kulirusha hewani....? Sitaki nikupe maumivu na jakamoyo...tunafilisi kibubu kirohombaya kabisa....sijakwambia kuhusu bei ya manunuzi yake..,usitaje kujua.....HAYAKUHUSU...Ila ninachotaka kukwambia ni hiki tuu...TUMETENDA SHARP KWA HARAKA...! ILA TUMEBUGI BIG TIME...!!!![emoji102]