Sharobaro ndan ya kanisa

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
Sharobaro ndan ya kanisa baada yakupokea divai akamwambia mchungaji,"naomba tishu meen" mchungaji kwa upole akamwambia,"Acha ushoga k*¤***ko 2po kanisani hapa"
 
Hapo kajibu kwa upole, angejibu kwa ukali ingekuwaje?
:smash::ballchain:
 
mbona alishindwa kuokota elf 20 alizodondosha baada ya kuwaona masistaduu wawili wakija mbele yake? Kibaya zaidi wale mabint wakaziokota
 
Sharobaro ndan ya kanisa baada yakupokea divai akamwambia mchungaji,"naomba tishu meen" mchungaji kwa upole akamwambia,"Acha ushoga k*¤***ko 2po kanisani hapa"

inaonyesha mchungaj nae aliwah kuwa konda au teja mana duuu! Kamaliza kila ki2
 
Duh!
Huyo watakuwa wanapiga msuba pamoja, ndo maana Mchungaji kaona jamaa anamzingua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…