Ha ha haaaaa!!! Aisee umenifanya nicheke sana mkuu wangu.
mi ninanuaga sh 2000 cjui ingikuaje
Hivi huyu dada yuko wapi... Ina maana kushindwa kwake kwenye mashindano ya Miss chit chat, yamemkimbiza JF kabisa.