Sharobaro na lugha za watu

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,301
Sharobaro: baby r u eyez?
Dem:whaat?!
Sharobaro:baby r u eyez now?
Dem:sorrry i don't get you speak in Kiswahili
Sharobaro:baby uko mach0?
 
Hahahahah duh yes am eyes bby, are you where? (upo wap?)
 
masharo wengi hasa wa mtaani kwangu hapa yani ninawasikitikia kinyama coz hawajui hata wanayoyaongea kwa kingereza halafu wana confidence kinyama kuwa wako sahihi.. yani hiki kizazi kimetumbukia shimoni kwakweli
 
Back
Top Bottom